Mtwara Smart
JF-Expert Member
- Jun 6, 2019
- 666
- 1,492
Ndio Kaka Shida ani Kujua Part Gan Ya Motherboard ImeharibikaMkuu PC ikiungua motherboard inaweza kutengenezwa na kufanya kazi vizuri?
Vipi inaweza kusurvive kufanya kazi kwa muda mrefu baada ya matengenezo?
Na hasara gani itatokea endapo PC baada ya kuharibika ikakaa muda mrefu bila matengenezo? Ya kwangu ina mwaka sasaNdio Kaka Shida ani Kujua Part Gan Ya Motherboard Imeharibika
Hakuna Madhara Ila Battery Yake Kama Ilikuwa Connected Kipind Chote, Itakuwa Freezed Inabid Uishtue Baada Ya Ku Repair PCNa hasara gani itatokea endapo PC baada ya kuharibika ikakaa muda mrefu bila matengenezo? Ya kwangu ina mwaka sasa
USB kuacha kusoma kwenye PC kuna uwezekano wa kuwa USB Driver za PC yako sio build inside motherboard, au zipo corrupted, au kwenye ku-update basi baadhi zimeshindwa kuendana na hiyo update mpya.Aisee USB zimeacha kusoma kwenye PC Tatizo Nini? Maana PC zingine zinaisoma hiyo pc
Ukitaka kuongeza bass kwanza lazima uapdate sound driverPC DELL Ina muziki mono sound na stereo tu. Nisaidie iwe na bass
mkuu hapo kama vile sijakusoma vizuri, unamaanisha kuwa ukiwasha android personal hotspot au ukitaka ufanye sharing ya pc na simu yako??Pc yangu Ina window 8.1 lakini haisupport wifi connection kwa simu za AP band 2.4GHz tatizo itakua Nini?
hizi ni PC za muda kidogo ila nahisi keyboard zake azizid 50k, na kuhusu hiyo hdd 500 inategemeana na external au internal, kwa external nafikiri pia aizidi 100k na kwa internal nafikiri aizidi 50k, Ram 4gb inategemeana na DDR gani na pia sijajua ni ya laptop au Desktop but bei zao pia zina-range 40-60kNaombeni kujua bei ya laptop keyboard ya compact(v6000) , naomba kujua bei ya hdd 500gb na ram 4gb
PC ni Lenovo na window 10USB kuacha kusoma kwenye PC kuna uwezekano wa kuwa USB Driver za PC yako sio build inside motherboard, au zipo corrupted, au kwenye ku-update basi baadhi zimeshindwa kuendana na hiyo update mpya.
Taja aina ya PC yako na windows gani unatumia kisha tuone solution.
Unatumia driver updater software kama vile driver booster au unakunnect tu na internet Kisha window itaupdate automatic?okay hapo inawezekana drivers zipo corrupted, unaweza kuziupdate upya kama una means yoyote ya internet
Asante sanaHakuna Madhara Ila Battery Yake Kama Ilikuwa Connected Kipind Chote, Itakuwa Freezed Inabid Uishtue Baada Ya Ku Repair PC
Njia yoyote unaweza kuitumia, windows 10 uwa inadownload drivers kupitia updates but muda mwingine updates zinachelewa kuja kutokana na patches za new updates zitakavyokuwa released ila kwa tatizo lako download hizo drivers online kupitia ao manufacture wa hiyo PCUnatumia driver updater software kama vile driver booster au unakunnect tu na internet Kisha window itaupdate automatic?
Sorry naomba unielekeze naingilia wapi? Na naanzaje, au naingia Lenovo . Com au wapi?Njia yoyote unaweza kuitumia, windows 10 uwa inadownload drivers kupitia updates but muda mwingine updates zinachelewa kuja kutokana na patches za new updates zitakavyokuwa released ila kwa tatizo lako download hizo drivers online kupitia ao manufacture wa hiyo PC