DATABASEE
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 588
- 585
OK,ngoja tuendelee kusubir maujanja!!!OK, tusubiri wajuvi zaidi mkuu watatusaidia kulingana na uzoefu wao!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OK,ngoja tuendelee kusubir maujanja!!!OK, tusubiri wajuvi zaidi mkuu watatusaidia kulingana na uzoefu wao!
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani mkuu, umekwishajaribu kutumia phone hizo mahali pengine zinafanya kazi?Mkuu pirate msaada hapa
Mkuu kwwnye ile fail ya kazi yang nlosevu inaandika compability mode kwan natumia word 2013 yeny outlook ya 2010 nfanyaje mkuu mana imnchosha utakuta naenda kutoa kaz nafka sttnry nkifungua nakuta shotcut nanimescan flash na kuhamisha nmhamisha vizur dataSawa mkuu ngoja nfanye hivo
Ni miMi CHalIIiiii Ya "R"
Thanks ngoja nijaribu!Yap
Unaweza kudownload driver yake kutokea tecno official page au download drivers updater software yoyote ili iweze kudownload automatically
Hopefully it'll help you out!!
Pirate
Ok pole mkuu, sasa kwa hiyo ms office package, ukitaka kusave, nenda kwa option ya save as "ms word 2007"! Nina uhakika utafanikiwa mkuu!Mkuu kwwnye ile fail ya kazi yang nlosevu inaandika compability mode kwan natumia word 2013 yeny outlook ya 2010 nfanyaje mkuu mana imnchosha utakuta naenda kutoa kaz nafka sttnry nkifungua nakuta shotcut nanimescan flash na kuhamisha nmhamisha vizur data
Ni miMi CHalIIiiii Ya "R"
Yap zinafanya kazi mkuu na nimejaribu zaid ya phone mojaSamahani mkuu, umekwishajaribu kutumia phone hizo mahali pengine zinafanya kazi?
Sent using Jamii Forums mobile app
OK, sound port hizo hazisomi mkuu! Jaribu kutumia USB sound card kuthibitisha! Pole kwa changamoto hiyo mkuu!Yap zinafanya kazi mkuu na nimejaribu zaid ya phone moja
Msaada wa kuroot tecno c7, nmejaribu Mara kadhaa nimeshindwaHabari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya
Karibuni sana wakuu
Pirate
Windows zipo matoleo tofauti tofauti, win xp, win 7, win 8, win 10 nk, sasa unatumia windows ipi?Kitu kingne mkuu nataka kujua jins ya kufany installtion ya window mana nataka badil hii yang
Ni miMi CHalIIiiii Ya "R"
Dah maelezo zaidi mkuu hizo USB sound card ndio nini? Na zinapatikana wapi?OK, sound port hizo hazisomi mkuu! Jaribu kutumia USB sound card kuthibitisha! Pole kwa changamoto hiyo mkuu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Usijali mkuu, kuna kitu kipo kama uionavyo flash ila kina matundu ya sounds, mahali unachomeka phone connector sasa kwenye computer yako! Ikikubali namna unavyohitaji basi zile port za kwenye PC yako hazisomi!Dah maelezo zaidi mkuu hizo USB sound card ndio nini? Na zinapatikana wapi?
Kuepuka kupoteza user documents, tunashuri harddisk ya computer yake ifanyiwe logical partition yaani ziwakilishwazo na herufi C, D na kuendelea!Nina Pc langu lina datas zangu kibao na documentary za kufa mtu. Sijui nitakifufuaje. Niliachia watoto wacheze gemu nadhani walifuta baadhi ya mafilea ya window
Pole mkuu, ila nakuomba check kwanza endapo kuna drivers zake, kama hujui kucheck usijali, funguka tukuelekeze!Mimi sauti haitoi imeji disable kwenye mfumo wa BIOS alafu kwenye BIOS kuna baadhi ya features zimefichwa inanifanya nishindwe Ku enable![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu, ila nakuomba check kwanza endapo kuna drivers zake, kama hujui kucheck usijali, funguka tukuelekeze!
Sent using Jamii Forums mobile app
nilijaribu kufatilia ikaonekana kuna njia moja tu nayo ni ya hatari kiasi kwamba ukibugi tu umeua pc sas naogopa kuitumia njia maana unatakiwa uiflash hiyo bios kwa ku update na ukikosea pc inakua haina uwezo wa ku bootPole mkuu, ila nakuomba check kwanza endapo kuna drivers zake, kama hujui kucheck usijali, funguka tukuelekeze!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu asante sana. Kumbe JF kuna vichwa matata sana.Kuepuka kupoteza user documents, tunashuri harddisk ya computer yake ifanyiwe logical partition yaani ziwakilishwazo na herufi C, D na kuendelea!
By default, windows na program zote hukaa ktk local disk C!
User data zote tunashauri zihifadhiwe ktk partitions zingine tofauti na hiyo inayobeba windows na programs!
Lengo endapo windows ikizingua, tunainstall upya kwenye partition hiyo ya C bila kugusa partitions zingine zenye user data! Hii husaidia sana mkuu!
Sasa usihofu, endapo machine hiyo unamashaka ya kupoteza data zako fanya hivi!
Install windows upya pasipo kuformat harddisk hata kidogo!
Ukimaliza, kafungue partition yako ya local disk C, tafuta folder lililoandikwa windows old!
Fungua folder hiyo kisha nenda ukafungue folders unazozikumbuka zina documents zako! Documents zako zitakuwa salama kabisa!
Hakikisha usifanye makosa ukaformat harddisk!
Sent using Jamii Forums mobile app