Tatizo lolote la PC/device

Tatizo lolote la PC/device

Sawa mkuu ngoja nfanye hivo

Ni miMi CHalIIiiii Ya "R"
Mkuu kwwnye ile fail ya kazi yang nlosevu inaandika compability mode kwan natumia word 2013 yeny outlook ya 2010 nfanyaje mkuu mana imnchosha utakuta naenda kutoa kaz nafka sttnry nkifungua nakuta shotcut nanimescan flash na kuhamisha nmhamisha vizur data

Ok pole mkuu, sasa kwa hiyo ms office package, ukitaka kusave, nenda kwa option ya save as "ms word 2007"! Nina uhakika utafanikiwa mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu kingne mkuu nataka kujua jins ya kufany installtion ya window mana nataka badil hii yang

Ni miMi CHalIIiiii Ya "R"
 
Habari zenu wakuu!!

Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya

Karibuni sana wakuu

Pirate
Msaada wa kuroot tecno c7, nmejaribu Mara kadhaa nimeshindwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu kingne mkuu nataka kujua jins ya kufany installtion ya window mana nataka badil hii yang

Ni miMi CHalIIiiii Ya "R"
Windows zipo matoleo tofauti tofauti, win xp, win 7, win 8, win 10 nk, sasa unatumia windows ipi?

Pia kumbuka, baadhi ya matoleo ya windows yanahitaji specifications kadha wa kadha za computer yako ktk suala la CPU, RAM na Optical Drives mfano CD / DVD drive!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah maelezo zaidi mkuu hizo USB sound card ndio nini? Na zinapatikana wapi?
Usijali mkuu, kuna kitu kipo kama uionavyo flash ila kina matundu ya sounds, mahali unachomeka phone connector sasa kwenye computer yako! Ikikubali namna unavyohitaji basi zile port za kwenye PC yako hazisomi!

Mafundi wengi wanazo, unaweza kujaribu kwanza kuthibitisha nisemacho kabla ya kununua! Chenyewe kinauzwa buku 5 labda cjui mahali ulipo wanauzaje ila najua kinauzwa buku 5!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina Pc langu lina datas zangu kibao na documentary za kufa mtu. Sijui nitakifufuaje. Niliachia watoto wacheze gemu nadhani walifuta baadhi ya mafilea ya window
 
Mimi sauti haitoi imeji disable kwenye mfumo wa BIOS alafu kwenye BIOS kuna baadhi ya features zimefichwa inanifanya nishindwe Ku enable
437120f01b7eab43e5f90a4554a7f529.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina Pc langu lina datas zangu kibao na documentary za kufa mtu. Sijui nitakifufuaje. Niliachia watoto wacheze gemu nadhani walifuta baadhi ya mafilea ya window
Kuepuka kupoteza user documents, tunashuri harddisk ya computer yake ifanyiwe logical partition yaani ziwakilishwazo na herufi C, D na kuendelea!

By default, windows na program zote hukaa ktk local disk C!

User data zote tunashauri zihifadhiwe ktk partitions zingine tofauti na hiyo inayobeba windows na programs!

Lengo endapo windows ikizingua, tunainstall upya kwenye partition hiyo ya C bila kugusa partitions zingine zenye user data! Hii husaidia sana mkuu!

Sasa usihofu, endapo machine hiyo unamashaka ya kupoteza data zako fanya hivi!

Install windows upya pasipo kuformat harddisk hata kidogo!

Ukimaliza, kafungue partition yako ya local disk C, tafuta folder lililoandikwa windows old!

Fungua folder hiyo kisha nenda ukafungue folders unazozikumbuka zina documents zako! Documents zako zitakuwa salama kabisa!

Hakikisha usifanye makosa ukaformat harddisk!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mkuu, ila nakuomba check kwanza endapo kuna drivers zake, kama hujui kucheck usijali, funguka tukuelekeze!

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu, ila nakuomba check kwanza endapo kuna drivers zake, kama hujui kucheck usijali, funguka tukuelekeze!

Sent using Jamii Forums mobile app
nilijaribu kufatilia ikaonekana kuna njia moja tu nayo ni ya hatari kiasi kwamba ukibugi tu umeua pc sas naogopa kuitumia njia maana unatakiwa uiflash hiyo bios kwa ku update na ukikosea pc inakua haina uwezo wa ku boot

upload_2017-7-23_18-37-42.png
 
Kuepuka kupoteza user documents, tunashuri harddisk ya computer yake ifanyiwe logical partition yaani ziwakilishwazo na herufi C, D na kuendelea!

By default, windows na program zote hukaa ktk local disk C!

User data zote tunashauri zihifadhiwe ktk partitions zingine tofauti na hiyo inayobeba windows na programs!

Lengo endapo windows ikizingua, tunainstall upya kwenye partition hiyo ya C bila kugusa partitions zingine zenye user data! Hii husaidia sana mkuu!

Sasa usihofu, endapo machine hiyo unamashaka ya kupoteza data zako fanya hivi!

Install windows upya pasipo kuformat harddisk hata kidogo!

Ukimaliza, kafungue partition yako ya local disk C, tafuta folder lililoandikwa windows old!

Fungua folder hiyo kisha nenda ukafungue folders unazozikumbuka zina documents zako! Documents zako zitakuwa salama kabisa!

Hakikisha usifanye makosa ukaformat harddisk!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu asante sana. Kumbe JF kuna vichwa matata sana.

PC yangu ina partition na data zote muhimu zipo kwenye D.
Hii cpu ilizingua muda sana nikahangaika nayo illiwaka last week nikaitumia ila nilivyoizima haiwaki tena.

Nikiweka window mpya. Inasome cd ila ikishafika kwenye zile arrow za kuselect cd rom ama flash disk key board inagoma. Inakuwa dormant

Ila nikingia kwenye f1 keyboars inafanya kazi.

Mkuu hapo unadhani kuna tatizo gani?
 
Back
Top Bottom