Tatizo lolote la PC/device

Tatizo lolote la PC/device

P
Alphabet ziko sawa..shida iko kwa namba za juu ya alphabet hazifanyi Kazi...pamoja na namba za pemben zile za pembeni ya alphabet ,japo hizi za.pemben Kuna siku zinafanya Kazi,Kuna siku hazifanyi kabisa .

Je hiyo NUM Lock naipata wapi kwenye laptop
Piga pocha nikuoneshe
 
Wakuu mimi pc yangu ni del imevuja wino nusu kwenye screen naomba msaada wenu nifanyeje na gharama kwenye matengenezo
 
1622911451627210007938.jpg
 
PC yangu nikiiwasha inaleta hivi, kisha inaandika diagnosing your pc. Mwisho inaleta hayo maneno ya blue. Nikienda kwenye advance options inaanza upya tena. Msaada wenu
20210618_093807_mfnr.jpg
20210618_093833_mfnr.jpg
20210618_093720_mfnr.jpg
 
Pc yangu nikiwasha uku nimechoka hdmi kuelekea kwenye tv inagoma kuwaka na inaweza isiwake tena ata week 2 zikaisha... shida inaweza kuwa nini wakuu
 
Mkuu, Pc yangu nmepiga window 8.1pro lakn haitaki ku connect Bluetooth. Mara ya kwanza bluetooth ilikua haipo kabisa kwny list ya devices (kwny device manager) baadae nkaiadd manually.

Ikawa inaonekana kwny list ya devices lakn ina kale ka triangle ka njano kuonesha iko na tatzo.

Nikatroubleshoot online ikashndikana, nikadanload driver pack solution, nikadanload na driver updater zingine lakn bado tatzo linaendelea.

What could be the possible solution here sir?
pc iliwahi kuwa na bluetooth sio? maana si pc zote zinayo. na sehemu nzuri ya kupata driver ni site ya manufacture, ni model gani pc
 
pc iliwahi kuwa na bluetooth sio? maana si pc zote zinayo. na sehemu nzuri ya kupata driver ni site ya manufacture, ni model gani pc
Mkuu upo active sana shukran, hv nlikua ndo naangalia pc model ili niedit swali langu hapa

*Kabla sijapiga hii window, ilikua na window 10 ambayo pia ilikua haitaki kuconnect Bluetooth nkadhani tatzo n window mana window 10 ina usumbufu mwng sana

*Pc ni HP Pavilion g7 Notebook PC
 
mkuu bado jina halijakamilika, mfano wa jina kamili

HP Pavilion g7-1150us
 
Nimecheki hapa kwenye specs zake hakuna hardware ya bluetooth

Nimecheki site ya hp ipo driver hii ya bluetooth

Kama una uhakika machine ina hardware ya bluetooth link ni hio hapo juu.
Uko sahh mkuu hii pc naeza sema haina hardware ya Bluetooth. Maana nimedanlod hzo driver lakn tatzo bado laendelea.

Lakn najiuliza kama haina hardware ya Bluetooth ni kwa nn Bluetooth inaonekana kwny list ya devices? (Hii Bluetooth niliiadd manually)

View attachment 2001826
 
Alternative angalia kupitia bios. Cheki network card ni ya aina gani na kama ina Bluetooth.
 
Back
Top Bottom