6WaS9
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 2,562
- 3,028
P
Piga pocha nikuonesheAlphabet ziko sawa..shida iko kwa namba za juu ya alphabet hazifanyi Kazi...pamoja na namba za pemben zile za pembeni ya alphabet ,japo hizi za.pemben Kuna siku zinafanya Kazi,Kuna siku hazifanyi kabisa .
Je hiyo NUM Lock naipata wapi kwenye laptop