Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu ni hp model gani?? kwasabab kuongeza mwanga basics kwenye hp ni f2 na f3Na PC yang HP natumia window 10 shida ipo kwenye kuongeza mwanga(brightness) nikibonya fn then button za mwanga kweny keyboard inaniletea frame to za mwanga ila mwanga hauongezek shida ni nn?na Kama drives nili update zote nili activate mbka ya graphics
yes inawezekana mkuu, tafuta recovery software mfano Easus ila lamia upate ambayo ipo full ndio itafanya kazi freshi, na pia inatakiwa ufanyie recovery pembeni mfano external hdd usifanyie kwenye pc hiyo hiyo.Salaam chief,
Hivi kuna namna ya kurudisha ma-file ambayo yamekuwa deleted? PC yangu nimepiga window, sasa kwa bahati mbaya sana kuna baadhi ya Mafile yalikuwa Local Disc D na nilisahau kuhamisha. Hivyo nimejikuta nime-format kila kitu na vitu vyangu vya muhimu sana.
Je, kuna namna naweza kurudisha? Au kama kuna Mtu anaweza fanya hii kitu.
[emoji120][emoji120][emoji120]
hizo zimezuiiwa na administrador usifanye changes yoyote, na njia ya kufanya lamia utoe hiyo system uweke nyingine, au kama ataweza kukutumia admin password ubadilishe settings.
kutopeleka moto kwa pc aisababishwi na motherboard peke ake, muda mwingine uwa inasababishwa kati ya charger au battery na kama motherboard basi inawezekana imepiga shoti kwahiyo njia za kupeleka moto zimezingua, na hadi amekwambia ununue nyingine labda kaona ni risk kuitengeneza hiyo mkuu.Wakuu mimi Pc yangu haipeleki charge ni HP, kuna jamaa kanambia sijui motherbody imekufa, hapa nataka niachane nayo ila ina mwaka mmoja tu [emoji52]
yes piga windows nyingine.
Jambo mkuu pirate utanisamehe kidogo kwa kiswahili changu cha kikongo
Ok mimi ninatatizo n'a computer DELL juzi nilibadirisha système nilivyo maliza ku instal système Kuna program moja(SMADAV2021) imegoma kutumika
Ninatumia PC ya Mcbook Air sasa ni wiki ya pili ina tatizo la kuzima charge ikifika asilimia 70 hivi, hata nikichaji inagoma kuwaka wakati adapta inaonesha kuwa moto umepanda na iko full charge (taa ya kijanni huwaka).
Mfano jana kila nikiwasha inawaka na kuzima huku percentage ikisoma 100. Niliiacha, leo mimeiwasha imewaka na nimeitumia.
Imekuwa ikifanya hivyo mara kwa mara.
Naomba msaada hapo.
Mkuu umejaribu kureset nVram?
Kama bado ni hivi ukiwa unawasha Pc tu bonyeza COmmand, Option, P ,R na inabid uzishikilie kwa muda kidogo hadi utaposikia mlio wa kwanza na wa pili wakati unapowasha pc ndio uziachie kwa pamoja hii uwa inasaidia kuondoa settings zote ambazo zimejisev kwenye memory y’a pc yako na pia inasaidia kusolve vitu vingi sana.
Same problem mkuu, but me Ni Dell Disck topmkuu pirate kuna swali moja watu walielezea sana kuhusiana na pc kuzima ghafla na baadae display kutoonesha chochote ila taa za kwenye keybord kuwaka na kuzima kama indicator hili tatizo limekumba pc yangu nilikuwa naitumia vizuri sana ikazima tu ghafla.
Now nikiiwasha tu feni inazunguka sana afu taa za kweny keybody zinawaka na kuzima karibia saa nzima ni hvyo hivyo nimejaribu kutoa betri na kuwasha bila betri lakni bado nikachomoa ram na kuwasha bila ram iko vile vile nifanyejena tatiz ni nini? Ni hp elitebook
Mjomba upo?ningeomba unisaidie kidogo kuhusu computerEm nijb kwanza haya maswali
• Unatumia windows gani?
• Uliweka mwenyew hiyo windows au umeekewa ?
• ilo tatizo limetokea hiv karbun au tangu ulipowekewa window?
• Na hiyo pc unaijua model yake?
Hapo itakuwa rahisi kwangu kukuelekeza cha kufanya, na kama maswali ni magumu jarbu kumuomba mtu akuelekeze jins ya kujb (*ni kwasabab umeniambia una uelewa mkubwa wa mambo Aya)