Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakuu natumia hp elitebook840 tatizo haiwak mara ya mwisho kutumia jana usiku iliisha chaji leo nimechaji ili nitumie nawasha haiwak msaada inaweza kua shida nn?
mkuu una maanisha kuwa windows activation screen inakuzuia usiiingie kwenye account yako au display ipo black ila cpu inawaka si ndio ?Msaada wakuu, Disck top computer aina ya Dell imejikata ghafla haionyeshi kwenye screen yake, ila ukiiwasha inawaka vizuri tu kwenye CPU.
Tatizo ilianza kwenye ujumbe ambao computer ilikuwa inanipa kuwa activity Window,
pleas naomba nisaidiwe namna ya kufanya ili iwake kwenye display yake
Siku ile nilikuwa nataka kuiondoa no hii 0xc0000005 but nikaamua kushusha window nikaweka ten but ikawa screen inaonesha imeminya hata ukitumia vcl player ikawa hai view video kubwa hata uki crop bado inakataa ikabidi nirudishe window 7 je hili ni tatizo gani hata browser ikawa haipatikani window ten ingawa ipo chap kufunguka desktop, hii ni nini tatizo ingawa aliyenijazia window ikamshinda niliisha malizana naye na ilipomshinda akairudishia 7 ile ileNipo uncle 🙂
mkuu una maanisha kuwa windows activation screen inakuzuia usiiingie kwenye account yako au display ipo black ila cpu inawaka si ndio ?
mkuu hilo ni ishu ya resolution, na inapokuwa na picha ndogo ni tatizo linalotokana na driver ambayo imekuwa installed labda ili-corrupt, japo kuna njia huyo fundi wak alitakiwa apitie kabla ajarudisha windows 7, ni kumaximazime resolution kwenye desktop and displays settings. kama alipitia huko pia ikagoma inawezekana ikawa ni drivers au hiyo copy ya windows ilikuwa ina Tatizo pia.Siku ile nilikuwa nataka kuiondoa no hii 0xc0000005 but nikaamua kushusha window nikaweka ten but ikawa screen inaonesha imeminya hata ukitumia vcl player ikawa hai view video kubwa hata uki crop bado inakataa ikabidi nirudishe window 7 je hili ni tatizo gani hata browser ikawa haipatikani window ten ingawa ipo chap kufunguka desktop, hii ni nini tatizo ingawa aliyenijazia window ikamshinda niliisha malizana naye na ilipomshinda akairudishia 7 ile ile
Sidhani kama wame irelease full, ila ukiwa na windows 10, na kama your laptop ina meet requirements, ukiiupdate unatoka windows 10 to 11 automaticallyNahitaji window 11, mtu wa kuifanyia installation ikiwa og itakuwa poa zaidi, ikiwa full na office
PC yangu aina ya HP, nikiiwasha inawaka lakini inadisplay picha kwa mbali sana.
Yaani hadi nimulike kwa tochi ndo naona maandishi. Nimejaribu njia zote za kuongeza mwanga lakini wapi.
Nimejaribu kuunganisha kwenye flat TV inadispalay maandishi vizuri TU.
Je hapo wajuzi tatizo ni nini?
PC yangu imechola kwenye kioo hivyo natafuta kioo kipya. Vile vile casing imechakaa Sana nahitaji kubadisha wapi nitapa GeitaHabari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae ana tatizo na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu (zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya.
Karibuni sana wakuu
Pirate
Habari zenu wakuu!!

Nina HP laptop, sasa kila nikianza kuboot inadisplay kisha inaganda hapo ktk hatua za awali kabisa! Tatizo nini mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae ana tatizo na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu (zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya.
Karibuni sana wakuu
Pirate
Habari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae ana tatizo na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu (zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya.
Karibuni sana wakuu
Pirate
Vioo mkuu most of time vinaingiliana, unapata around 80k mpaka 120k kkoo. Case ni issue nyengine inaweza kukusumbua.Msaada wa sehemu ya kununua kioo Cha laptop pamoja na casing View attachment 2297924View attachment 2297925View attachment 2297929
Asante, nipo Geita naweza pata msaada wa kuagiza nikakipata Geita?. Case huwa haziuzwi mpya?Vioo mkuu most of time vinaingiliana, unapata around 80k mpaka 120k kkoo. Case ni issue nyengine inaweza kukusumbua.