Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
okay mkuu kama ujapata ufumbuzi bado,,,,Pc kuganda kwny boot mode tatzo Nini wakuu ukuminya escape inarud apo apo
Mkuu kwa sasa sipo Tz na namba za jamaa wa Kariakoo nyingi nilipoteza, kama aupo mbali na DSM unaweza kwenda Kkoo hasa kwenye maduka ya Pc kwa jumla uwezi kukosa hii.Mkuu naweza pata wapi kioo cha hii monitor ni nchi 21(wide) kwa 30cm (length)
Ilipata damage nikiiwasha inavilia wino ,yaani haionesh View attachment 2359799
Mkuu kama hiyo inatokea kwenye Usb Port moja tu basi ni port ndio ina tatizo lakini kama inatokea kwenye port zote basi tatizo lipo kwenye Usb chord ya simu yako au Usb Port ya simu yako.Mkuu me Disck Top computer nikichomeka USB cable nikakonnect sim haisomi bali inaniletea ujumbe kuwa
⚠️USB Device Not Recognazed
one of the USB device attached to this commputer has malfunction, and Window does not recognize it.
For assistance in solving this problem, click this message.
𝐍𝐢𝐭𝐚𝐥𝐢𝐬𝐨𝐥𝐯𝐞 𝐯𝐢𝐩 𝐦𝐤𝐮𝐮
Mkuu kama bado ujafanikiwa unaweza kuelezea vizuri tatizo?Nina HP inazingua ukiikunjua inablink kama inawaka then inazima
Mwanzo ilianza inawaka masaa kadhaa, baadaye ikaja ikiwaka inakaa dakika kadhaa. Hivi sasa hata sekunde haiwezi
Nitatuma descriptions for further explanation
Kama umefanya hivyo vyote na bado jaribu hii nyia ya mwisho,PC yangu ni mpya lakini nikijiunga kwenye vikao vya zoom na Microsoft Teams haitaki kuunganisha sauti, hata nikirusuhusu 'Join the meeting with device audio'
Pia nimeallow/nimetoa permission app zote zitumie Mic ya PC. Bado shida ipo palepale
Tumia VGA cableNataka kuunganisha laptop yangu na na Screen mbili za desktop.
Nafanyaje
1. Weka graphics driverNa PC yang HP natumia window 10 shida ipo kwenye kuongeza mwanga(brightness) nikibonya fn then button za mwanga kweny keyboard inaniletea frame to za mwanga ila mwanga hauongezek shida ni nn?na Kama drives nili update zote nili activate mbka ya graphics
Nilikutana na ishu ya kushangaza, pc dell latitude d series, nilabadili inverter ikakataa, kubadili kioo ikakubaliMkuu kama ni PC za zamani basi hiyo ishu ni ya INVERTER, ni kifaa hivi kidogo kipo chini ya kioo cha laptop, ukiifungua hapo juu ndio ambayo inasadia kufanya regulation ya mwanga, so unaweza kwenda kwa fundi akaifungua na kukufungia mpya kisha itarudi vizuri.
Ila kama ni PC mpya hapo inabidi ubadili kioo.
Mkuu vip ulifanikiwa kutatuua tatizo lako?Wakuu Nina Pc Dell latitude E6420 nimeiwasha haioneshi kitu inatoa rangi ya dark blue nimechomoa betri na kuirudishia ikaonesha hiviView attachment 2619989View attachment 2619991
Nime click F2 ikaniletea settings naomba kuelekezwa setting yake.
Mkuu hizo pc mbili zote ni aina moja ambazo ulijaribu hizo ram,hdd,betri?Msaada laptop aina ya fujitsu zipo mbili moja haiwaki kabisaaaaa ila nilijaribu Kutoa ram, betri, hdd na Kuweka kwenye laptop nyingine aina hiyo hiyo ile pc Ikawaka nikajua issue sio ram wala betri wala Hdd, pc ya pili yenyewe inaonyesha kuwa chaji inaingia ila haiwaki kabisaaaaa so msaada tatizo nini