Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaman nisaidien na Mimi PC yangu haifanyi kazi sehem ya kuweka flash sehem zote hazifanyi kazi ni acer
Nilifanikiwa baada ya kupiga window ikafanyakazi vizuri kesho yake nilipowasha ikajirudia tena kama mwanzo nikaenda kwa jamaa alie nipigia window akapiga tena na akanimbia tatizo ni hard disk ishaanza kuchoka ila hadi sasa haijasumbua tena.Mkuu vip ulifanikiwa kutatuua tatizo lako?
Nilifanikiwa baada ya kupiga window ikafanyakazi vizuri kesho yake nilipowasha ikajirudia tena kama mwanzo nikaenda kwa jamaa alie nipigia window akapiga tena na akanimbia tatizo ni hard disk ishaanza kuchoka ila hadi sasa haijasumbua tena.
Mkuu kwanza hiyo "blue screen error" inakutokea kwenye windows gani?Naomba nisaidiwe jinsi ya kuitoa stope code problem au bad system configuration information
Nimehangaika nimeshindwa had nataka niipige window tena
OS imecorrupt inabid upige windows upya au ufanye restore, ila lazima uwe na installation mediaPC yangu aina ya TOSHIBA
Nikiiwasha inaleta maneno kama picha hapo na nikifuata maelekezo inaleta yaleyale maneno.View attachment 2642333
Kaka sijui hata ni Acer aina gan ila ni laptop imejizima ghafla haiwaki kabisa ila chaji inapeleka vizur na pia kipind inawaka sehem za flash ziligoma kufanya kaziMkuu ili niweze kukusaidia vizuri, unaweza kutaja hiyo ni Acer gani, na ni laptop au desktop?
Na tatizo limeanzaje na limeanza lini?
Habari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae ana tatizo na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu (zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya.
Karibuni sana wakuu
Pirate