Tatizo lolote la PC/device

Tatizo lolote la PC/device

Jaman nisaidien na Mimi PC yangu haifanyi kazi sehem ya kuweka flash sehem zote hazifanyi kazi ni acer
 
Jaman nisaidien na Mimi PC yangu haifanyi kazi sehem ya kuweka flash sehem zote hazifanyi kazi ni acer

Mkuu ili niweze kukusaidia vizuri, unaweza kutaja hiyo ni Acer gani, na ni laptop au desktop?

Na tatizo limeanzaje na limeanza lini?
 
Mkuu vip ulifanikiwa kutatuua tatizo lako?
Nilifanikiwa baada ya kupiga window ikafanyakazi vizuri kesho yake nilipowasha ikajirudia tena kama mwanzo nikaenda kwa jamaa alie nipigia window akapiga tena na akanimbia tatizo ni hard disk ishaanza kuchoka ila hadi sasa haijasumbua tena.
 
Aaahh okay ni vizuri kama umefanikiwa mkuu.
 
Naomba nisaidiwe jinsi ya kuitoa stope code problem au bad system configuration information
Nimehangaika nimeshindwa had nataka niipige window tena
 
Mkuu mimi Tablet yangu MP man imevunjika kioo ntapata wapi cha kubadilisha
 
Naomba nisaidiwe jinsi ya kuitoa stope code problem au bad system configuration information
Nimehangaika nimeshindwa had nataka niipige window tena
Mkuu kwanza hiyo "blue screen error" inakutokea kwenye windows gani?
Pia je umejaribu kufanya vitu hivi
  1. je hardware zako zote zipo sawa, hii mostly uwa inasababishwa na HDD/SSd/Ram error na inawezakana labda ikawa zimekuwa na tatizo mahali.
  2. kama ulishawahi "Create restore Point" unaweza kujaribu kurestore point amabyo ulishwawahi kuitumia vizuri na hii mara nyingi uwa inafanyaga automatic baada ya kufanya update ya kwanza.
  3. Kufanya Registry Fix, hii unaweza kufanya kwa Ccleaner
 
Msaada wa kuactivate window 10! Tulizoea kmspico sasa hamna tena haikubal kuwa downloaded ko tatizo kuactivate
 
PC yangu aina ya TOSHIBA

Nikiiwasha inaleta maneno kama picha hapo na nikifuata maelekezo inaleta yaleyale maneno.
IMG_20230601_115505_9.jpg
 
Msaada wa kuactivate window 10! Tulizoea kmspico sasa hamna tena haikubal kuwa downloaded ko tatizo kuactivate
deactivate AV ya windows kwa muda kidogo kisha download then fanya activation
 
Mkuu ili niweze kukusaidia vizuri, unaweza kutaja hiyo ni Acer gani, na ni laptop au desktop?

Na tatizo limeanzaje na limeanza lini?
Kaka sijui hata ni Acer aina gan ila ni laptop imejizima ghafla haiwaki kabisa ila chaji inapeleka vizur na pia kipind inawaka sehem za flash ziligoma kufanya kazi
 
PC imefeli ku update aikamilikii inadai check for updates af ina search tu
Habari zenu wakuu!!

Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae ana tatizo na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu (zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya.

Karibuni sana wakuu

Pirate
 
Nina desktop mkuu, sometimes inawaka, orhertimes haiwaki. Na slot za memory, moja haifanyi kazi. i7,3.4Ghz, 16 GB RAM, pinless. Kama haitengenezeki, board inayosupport DDR4 ntapata?
 
Back
Top Bottom