valid statement
JF-Expert Member
- Sep 18, 2011
- 2,852
- 873
Wapendwa je wote mu wazima?
Nisaidieni ninaomba kwani nafikiri sijitambui au sijijui.
Mbona mimi sipati shida wala kushtushwa na suala zima la nyumba ndogo!!
Je inawezekana kuwa sijawahi kupenda? au?
Je kuna mwenzangu/wenzangu ambao wana hali kama hii?
Ni upuuzi sana,kwani wema alimuita? Huyo mwanaume ndo mwamuzi wa mambo yote kwani hata wemaakifa si ataenda kwa mwanamke mwingine tu.nilikuwa nasikiliza heka heka, eti mke wa mtu kaenda kumfanyia fujo Wema Sepetu sababu anatembea na mumewe...........
huu upuuzi sitakuja kuufanya, ni kujidhalilisha kwa hali ya juu
Sheria mojawapo ya nyumba ndogo ni kuprovideutamu kuliko nyumba kubwa ,kumbuka mwanaume kwa wife hatumii condomu ili kumretain nyumba ndogo nae hawezikukubali kutumia kondomu
hivi ukiwa unapekua sms, email,..... za mwenzi wako unaweza epuka hizo virus?Waweza epuka pressure lakini ukapata Virus vya HI au Herpatisis
au magonjwa mengine yanayoambukiza kwa njia ya body fluid exchange!
Mimi nilifikiri mkiwa wanandoa mnakuwa mwili mmoja
hata kama wema ndo alimtokea, kwani alimbaka? mtu mpaka anatoa hela zake kumnunulia hilo gari na hiyo shopping ya Dubai......................... bado utamlaumu mdada?Ni upuuzi sana,kwani wema alimuita? Huyo mwanaume ndo mwamuzi wa mambo yote kwani hata wemaakifa si ataenda kwa mwanamke mwingine tu.
Mimi huwa nikitongozwa na mume wa mtu kwanza ninamdisvalue.
Kwananiudate na limtu halina maadili? Kama anaweza kumsaliti mtu wake wa karibu mimindo nitakuwa salama ?
Semana wanawake njaa na tamaaa zinatusababishia mateso sana maishani
Not my law kwani nje wanafata nini hao wanaume kama ni sukari ndani ipo it meansnje akute asali.haiwezekani ndani kuna sukari then nje apewe maji /testlesss mmmhThis is Smile's new relationship law or what? I cant understand watu utamu wanaoutaka ni utamu wa aina gani...mmmh
Not my law kwani nje wanafata nini hao wanaume kama ni sukari ndani ipo it meansnje akute asali.haiwezekani ndani kuna sukari then nje apewe maji /testlesss mmmh
Lazima kuwe na something better
Na ukiona unaanza kufanya kwa 'hofu' basi kwangu huo naona ni utumwa maana kwanza unafanya si kwa kufurahia na kuongeza ladha bali kwa hofu kuwa nyumba ndogo itakupiku...bht hivyo ndo inavyoonekana kwa wengi wanaozihofia hizo nyumba ndogo. Mimi kwangu sijui ninachoelewa ninaamini katika kuspice up things, ubunifu, heshima, kujali na kufanya kila kilichopo ndani ya uwezo wangu kuwa na penzi zuri lakini siamini katika kufanya hayo ili asitoke (mind you ili asitoke) sio eti katoka ndo nipinuke masarakasi ili arudi, no way.......
mimi sijui sipo kwenye group hilo la waasi nimeokoka mieNi wanaume tu wenye nyumba ndogo au hata nyinyi kina dada? Si tunazukiana tu siku hizi au macho yangu yamepofuka...well, mi nimerudi kanisani sitaki tabia mbaya, so naangalia tu watu wanavyorukiana.
heeeee..........hii kubwa kuliko...This is the type of discussion that changes my day from a sunny lovely to a rainy muddy one. . .
Mwanajamiione, nadhani sio lazima Nyumba Ndogo ikukere. wengine wanaona sawa tu. Binafsi kinacho nikera zaidi ni the lies involved. Kama mambo yote yanawekwa wazi, then people can take any decision knowing that it is based on facts, not assumptions.
Ukisema I have the perfect marriage, you know what you mean, ukisema I want to leave my man you know what you mean. But most of men lie to both Nyumba kubwa and Nyumba Ndogo who then believe in things that don't really exist and that is what makes it even uglier than it already is to me.
Wapendwa je wote mu wazima?
Nisaidieni ninaomba kwani nafikiri sijitambui au sijijui.
Mbona mimi sipati shida wala kushtushwa na suala zima la nyumba ndogo!!
Je inawezekana kuwa sijawahi kupenda? au?
Je kuna mwenzangu/wenzangu ambao wana hali kama hii?
mbu ebu tupe ushuhuda wako kuhusu nyumba ndogo.....:A S-coffee:
Hii yatokana tu pale unapojitambua na kujiridhisha thamani ya nafsi yako.
Be proud of yourself mwj1, wivu ni ugonjwa. Shukuru majaaliwa yako.
mbu ebu tupe ushuhuda wako kuhusu nyumba ndogo.
babu mimi sikubaliani hata kidogo na swala la nyumba dogo.in real world mimi niko real sana huwa sipendi mambo ya kuact.kwanini uishi kwa kuigiza? Swala la mwanaume kuwa na nyumba ndogo mi huwa naoana nikujidaganya na kujitesa bure. Kama unabisha uliza mwanaume yeyote ambaealishawai kuwa na nyumba ndogo wakaishihadi mwisho kwa usalama.Leo naona umeamua...Hutaki utani hata kidogo!!!
I have enjoyed your posts....
Babu DC!!
....:A S-coffee:
Hii yatokana tu pale unapojitambua na kujiridhisha thamani ya nafsi yako.
Be proud of yourself mwj1, wivu ni ugonjwa. Shukuru majaaliwa yako.
Hivi inawezekana eeh?Unapenda ila wivu ndo kitu huna.
Roho haiumi wala wivu huna.hongera.
Watu tunaolewa kwa sababu zifuatazoHii thread mbona inogile??! maana hata uchangiaji wake umeenda shule, you can just tell kutokana na flow za wachangiaji.
Naomba kuuliza nikiolewa naweza kuwa nyumba kubwa halafu nyumba ndogo? ili nisikilizie issue kote kote na kukomaa ipasavyo? maana nimedata kidogo hapa
Mbona naogopa hata kuolewa sasa!! Mweeeeh
babu mimi sikubaliani hata kidogo na swala la nyumba dogo.in real world mimi niko real sana huwa sipendi mambo ya kuact.kwanini uishi kwa kuigiza? Swala la mwanaume kuwa na nyumba ndogo mi huwa naoana nikujidaganya na kujitesa bure. Kama unabisha uliza mwanaume yeyote ambaealishawai kuwa na nyumba ndogo wakaishihadi mwisho kwa usalama.
Wanaume huwa mnajiona wajanja l mnatuona wanawakwe hatuna akili lakinikumbukeni ya adamu na eva. Machunwa weeeeee,napewa na mingoma aka ukimwi.hamana chochote mnachofaidi humo.bora kama mke mmoja akutoshi oa mwingine