bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,873
Nafurahi hata wewe kaka yangu hilo unalitambua?Huyo ndiyo Babu Aspirin,
Hata hivyo jipe moyo kwani bado watoto wazuri wapo wengi na wengine unawajua mwenyewe...Sina sababu ya kukutajia!!!
Au umesahau?
Babu DC!!
Ni ngumu kumsahau 'mtoto mzuri'...
Aspirin anaifanya ionekane kama vile hakuna mahusiano bila infidelity (Naweza kuwa nakosea kumsoma) ilhali sivyo ilivyo.