Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Kwenye ukweli lazima tuseme, Mimi ni mnazi wa Simba ila huyu jamaa ameipa Yanga mafanikio makubwa katika kipindi kifupi alochokaa kama Mwakilishi wa mdhamini na kama Rais wa Klabu.Huyu jamaa ndiyo tatizo kubwa Yanga, pamoja na ndiyo kuwa sababu ya GSM kuweka Yanga ila jamaa hafai.
Kila kitu anajua na anataka afanye yeye!
Hawezi usiri kwenye mambo ya Yanga, mbaya zaidi anaingilia kila majukumu na tamaa yake ya kuonekana kwenye TV kila siku. Rais anaonekana kwenye TV zaidi ya afisa mahusiano.
Majukumu yote anataka afanye yeye na ndiyo chanzo cha Senzo kuondoka, maana alijiona ni CEO kivuli.
View attachment 2381371
Chini yake Yanga imefika fainali za Shirikisho hatua ambayo sisi hatujawahi kufika kwa miaka ya hivi karibuni. Kuna unbeaten ya 49 matches, kuna kuchukua mara 2 mtawalia baada ya sisi kutamba miaka minne mfululizo na mengineyo.
Anaweza kua na hayo unayoysema lakini naona mazuri yake Kwa Klabu yake ni mengi kuliko hayo unayoyataja.