mimi si mwanachama wa chama chochote ispokua ni mwanasiasa mbobevu mwenye maono na upeo mkubwa katika masuala ya kisiasa, kiuchumi, kisiasa, kitaifa na kimataifa...Ikiwa wewe si Chadema, unaathirika vipi??
Pilipili usiyoila inakuwashia nini???
Wewe ni li chawa la CCM kindaki ndaki. Ubobezi pekee ulionao ni wa uchawa.mimi si mwanachama wa chama chochote ispokua ni mwanasiasa mbobevu mwenye maono na upeo mkubwa katika masuala ya kisiasa, kiuchumi, kisiasa, kitaifa na kimataifa...
mimi nimeona kitaalamu,
nimewajulisha kiungwana na nimewafahamisha ambacho hamkijui na wala msonge kiona kwasababu ya uelewa na ufahamu kiasi juu ya masuala haya,
kushupaza shingo ama laa, ni uamuzi huru na wa haki kwa yeyote
Tatizo ni wewe usiyetulia kuandika habari za chama chako unahangaika na kuanzisha nyuzi kila siku kuhusu Chadema, hivi huna la maana la kuandika kuhusu CCM.kulikoni hasa,
hata ifikie hatua mwenyekiti wake Taifa akiibua jambo zito na muhimu kwa maslahi ya chama chake,
basi haupiti muda mrefu,
lazima na makamu mwenyekiti nae aibuke na kituko kingine ilimradi tu kuzima trending ya alichoibua mwenyekiti wake ?
kitaalamu hii ni aina gani ya mapambano ya kisiasa wanayoyafanya mafahali hawa wawili wa chama kimoja, wanao oneana aibu na wasio weza kutazamana macho kwa macho?
hii kasumba ya outshining, thwarting and frustrating ya makamu mwenyekiti dhidi ya mwenyekiti wake kwenye nyumba yao wenyewe,
ni kwa faida ya nani hasa politically speaking?π
Mungu Ibariki Tanzania
kulikoni hasa,

Mungu Ibari
Ila hata kama hujui siasa unaona kabisa Chadema kuna shidakulikoni hasa,
hata ifikie hatua mwenyekiti wake Taifa akiibua jambo zito na muhimu kwa maslahi ya chama chake,
basi haupiti muda mrefu,
lazima na makamu mwenyekiti nae aibuke na kituko kingine ilimradi tu kuzima trending ya alichoibua mwenyekiti wake ?
kitaalamu hii ni aina gani ya mapambano ya kisiasa wanayoyafanya mafahali hawa wawili wa chama kimoja, wanao oneana aibu na wasio weza kutazamana macho kwa macho?
hii kasumba ya outshining, thwarting and frustrating ya makamu mwenyekiti dhidi ya mwenyekiti wake kwenye nyumba yao wenyewe,
ni kwa faida ya nani hasa politically speaking?π
Mungu Ibariki Tanzania
naheshimu sana maoni na mtazamo wako dhidi yangu kwasababu ni ujuri na haku yako kutoa maoni hata kama ni potofu kama haya,Wewe ni li chawa la CCM kindaki ndaki. Ubobezi pekee ulionao ni wa uchawa.
naheshimu sana maoni na mtazamo wako dhidi yangu kwasababu ni ujuri na haku yako kutoa maoni hata kama ni potofu kama haya,
hata hivyo hilo sio la muhimu,
la maana zaidi ni hilo ambalo linaendelea baina ya mwenyekiti na makamo wake ndani ya chadema...
kwangu mimi si zuri na wala halina afya kwa ustawi wa chadema,
lakini ningependelea liendelee, wote tushuhudie mwisho wake kwasababu kuna la kujifunza kisiasa kicha ya kua kuna political casualties pia
Mwenyekiti wa CCM taifa ana maelezo zaidi kuhusu hili.elezea wadau wa jf kwa kifupi gentleman
bahati mbaya siana chama cha siasa,Tatizo ni wewe usiyetulia kuandika habari za chama chako unahangaika na kuanzisha nyuzi kila siku kuhusu Chadema, hivi huna la maana la kuandika kuhusu CCM.
Pesaaakulikoni hasa,
hata ifikie hatua mwenyekiti wake Taifa akiibua jambo zito na muhimu kwa maslahi ya chama chake,
basi haupiti muda mrefu,
lazima na makamu mwenyekiti nae aibuke na kituko kingine ilimradi tu kuzima trending ya alichoibua mwenyekiti wake ?
kitaalamu hii ni aina gani ya mapambano ya kisiasa wanayoyafanya mafahali hawa wawili wa chama kimoja, wanao oneana aibu na wasio weza kutazamana macho kwa macho?
hii kasumba ya outshining, thwarting and frustrating ya makamu mwenyekiti dhidi ya mwenyekiti wake kwenye nyumba yao wenyewe,
ni kwa faida ya nani hasa politically speaking?π
Mungu Ibariki Tanzania
Duh,you can read and observe from their body languages, facial expressions and tones kwamba something is boiling and creaking, ni suala la muda tu....
be prepared chadema fans plz
mbobevu nimetekeleza wajibu wangu vyema,Duh,
Ukisikia Ramli chonganishi ndiyo hii yako sasa!
Haha,mbobevu nimetekeleza wajibu wangu vyema,
isije ikatokea mtu analaumu ati mbobevu sikusema wala kutoa tahadhari kwenye kitakacho tokea kwenye siasa za chadema baina ya mafahali hawa wawili wanaviziana tu kwamba nani kati yao abreak the line kiwake
mimi si mtabiri,Haha,
Haya 'nabii', sasa tupatie utabiri wako kwa chama cha mbogamboga juu ya uchaguzi ujao
Okay,mimi si mtabiri,
kiongozi mbobevu wa kisasa mwenye maono ya mbali juu ya mustakabali wa ustawi wa demokrasia ndani ya vyama vya siasa π