Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #21
mimi si mwanachama wa chama chochote ispokua ni mwanasiasa mbobevu mwenye maono na upeo mkubwa katika masuala ya kisiasa, kiuchumi, kisiasa, kitaifa na kimataifa...Ikiwa wewe si Chadema, unaathirika vipi??
Pilipili usiyoila inakuwashia nini???
mimi nimeona kitaalamu,
nimewajulisha kiungwana na nimewafahamisha ambacho hamkijui na wala msonge kiona kwasababu ya uelewa na ufahamu kiasi juu ya masuala haya,
kushupaza shingo ama laa, ni uamuzi huru na wa haki kwa yeyote



