Tatizo ni nini hasa CHADEMA?

Tatizo ni nini hasa CHADEMA?

Ikiwa wewe si Chadema, unaathirika vipi??

Pilipili usiyoila inakuwashia nini???
mimi si mwanachama wa chama chochote ispokua ni mwanasiasa mbobevu mwenye maono na upeo mkubwa katika masuala ya kisiasa, kiuchumi, kisiasa, kitaifa na kimataifa...

mimi nimeona kitaalamu,
nimewajulisha kiungwana na nimewafahamisha ambacho hamkijui na wala msonge kiona kwasababu ya uelewa na ufahamu kiasi juu ya masuala haya,

kushupaza shingo ama laa, ni uamuzi huru na wa haki kwa yeyote:pulpTRAVOLTA:
 
Wewe ni li chawa la CCM kindaki ndaki. Ubobezi pekee ulionao ni wa uchawa.
 
kulikoni hasa,
hata ifikie hatua mwenyekiti wake Taifa akiibua jambo zito na muhimu kwa maslahi ya chama chake,

basi haupiti muda mrefu,
lazima na makamu mwenyekiti nae aibuke na kituko kingine ilimradi tu kuzima trending ya alichoibua mwenyekiti wake ?

kitaalamu hii ni aina gani ya mapambano ya kisiasa wanayoyafanya mafahali hawa wawili wa chama kimoja, wanao oneana aibu na wasio weza kutazamana macho kwa macho?

hii kasumba ya outshining, thwarting and frustrating ya makamu mwenyekiti dhidi ya mwenyekiti wake kwenye nyumba yao wenyewe,
ni kwa faida ya nani hasa politically speaking?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Tatizo ni wewe usiyetulia kuandika habari za chama chako unahangaika na kuanzisha nyuzi kila siku kuhusu Chadema, hivi huna la maana la kuandika kuhusu CCM.
 
Ila hata

Mungu Ibari

Ila hata kama hujui siasa unaona kabisa Chadema kuna shida
 
Wewe ni li chawa la CCM kindaki ndaki. Ubobezi pekee ulionao ni wa uchawa.
naheshimu sana maoni na mtazamo wako dhidi yangu kwasababu ni ujuri na haku yako kutoa maoni hata kama ni potofu kama haya,

hata hivyo hilo sio la muhimu,
la maana zaidi ni hilo ambalo linaendelea baina ya mwenyekiti na makamo wake ndani ya chadema...

kwangu mimi si zuri na wala halina afya kwa ustawi wa chadema,
lakini ningependelea liendelee, wote tushuhudie mwisho wake kwasababu kuna la kujifunza kisiasa kicha ya kua kuna political casualties pia :NoGodNo:
 
1724577800490.png
 
Mwenyekiti wa CCM taifa ana maelezo zaidi kuhusu hili.
nafurahi kwa kufuatilia kwako kwa karibu sana mapambano ya kisiasa ndani ya chadema baina ya mwenyekiti na makamu mwenyekiti wake taifa,

shukran sana gentleman:pedroP:
 
Tatizo ni wewe usiyetulia kuandika habari za chama chako unahangaika na kuanzisha nyuzi kila siku kuhusu Chadema, hivi huna la maana la kuandika kuhusu CCM.
bahati mbaya siana chama cha siasa,

ubobevu wangu katika tafiti na mambo ya kisiasa, unanifabya nisikose cha kuandika kuhusu yanayoendelea ndani ya vyama mbalimbali vya kisiasa humu nchini....

na kwa hivyo hilo ni dogo tu,
na ni moja kati ya mengi sana nitakayo andika kuhusu demokarsia nchini na songombingo za kabokamchizi ndani ya vyama vya siasa hususan chadema :pulpTRAVOLTA: :pulpTRAVOLTA:
 
kulikoni hasa,
hata ifikie hatua mwenyekiti wake Taifa akiibua jambo zito na muhimu kwa maslahi ya chama chake,

basi haupiti muda mrefu,
lazima na makamu mwenyekiti nae aibuke na kituko kingine ilimradi tu kuzima trending ya alichoibua mwenyekiti wake ?

kitaalamu hii ni aina gani ya mapambano ya kisiasa wanayoyafanya mafahali hawa wawili wa chama kimoja, wanao oneana aibu na wasio weza kutazamana macho kwa macho?

hii kasumba ya outshining, thwarting and frustrating ya makamu mwenyekiti dhidi ya mwenyekiti wake kwenye nyumba yao wenyewe,
ni kwa faida ya nani hasa politically speaking?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Pesaaa
Pesaaa
Pesaaaaa
Apesaaaa
 
Pesaaa
Pesaaa
Pesaaaaa
Apesaaaa
sure,
pesa inavuruga sana kule chama,
kuna moja anaona akiachia ngazi hawezi kulipwa pesa zake nyingi sana alizokopesha chama bila utaratibu:pulpTRAVOLTA:
 
you can read and observe from their body languages, facial expressions and tones kwamba something is boiling and creaking, ni suala la muda tu....

be prepared chadema fans plz :pulpTRAVOLTA:
Duh,
Ukisikia Ramli chonganishi ndiyo hii yako sasa!
 
mbobevu nimetekeleza wajibu wangu vyema,

isije ikatokea mtu analaumu ati mbobevu sikusema wala kutoa tahadhari kwenye kitakacho tokea kwenye siasa za chadema baina ya mafahali hawa wawili wanaviziana tu kwamba nani kati yao abreak the line kiwake :pulpTRAVOLTA:
 
Haha,
Haya 'nabii', sasa tupatie utabiri wako kwa chama cha mbogamboga juu ya uchaguzi ujao
 
mimi si mtabiri,
kiongozi mbobevu wa kisasa mwenye maono ya mbali juu ya mustakabali wa ustawi wa demokrasia ndani ya vyama vya siasa 🐒
 
Okay,
Ndo utueleze sasa juu ya mustakabali wa ustawi wa demokrasia ndani ya sisiemu, ukirejea jinsi Job alivyoponzwa na kutoa maoni yake, Membe (Rip) alivyoponzwa na kuonesha nia ya kugombea
 
Back
Top Bottom