Mkongwe Mzoefu
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 861
- 2,515
Haya ni maajabu ya Tanzania ya CCM, Sasa hivi inajisifu kujenga madarasa mengi na ya kisasa kwa shule za msingi na sekondari kwa pesa nyingi sana za kukopa, tozo na kodi za kawaida. Pia sasa hivi elimu inasemekana ni bure kote huko yaani msingi na sekondari. Tunawapongeza.
Ajabu ni kuwa kuna wimbi kubwa sana mikoani kwa wanafunzi kugoma kwenda shuleni kwa hayo masomo.
Baadhi ya mikoa walioripoti hadi sasa ni chini ya 50% huku shule moja ya sekondari huko Geita katika wanafunzi 80 waliopaswa kuripoti ni wanne tuu wako shule.
Tatizo ni nini? Mbona taifa linaangamia na waziri mhusika yuko kimya?
Taifa linakubali kuianza safari ya ujingani kimya kimya?