Tatizo ni nini hasa? Madarasa tayari Wanafunzi hawataki Shule

Kaka kamaliza university yupo nyumbani, dada mtu kamaliza vyuo vya kati yupo nyumbani, huyu kamaliza form six yupo nyumbani, dog kamaliza form 4 yupo nyumbani...! Hivi Kwa Hali hii nani atapenda shule?! Mimi baba yenu nawaambieni kuwa elimu ya Tanzania imepoteza thamani.. thamani ya elimu ya Tanzania ni pale mtu anapo ajiriwa, baasi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…