Tatizo ni Rais kujiona kama Mungu, Infallible, Omnipotent , Alpha na Omega

Tatizo ni Rais kujiona kama Mungu, Infallible, Omnipotent , Alpha na Omega

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Solution to this ni kidai Katiba pendekezwa ya Warioba. Short of that kuna mauaji mengine yanakuja.
TEC wameliweka vema kabisa katika waraka wao, la Katiba mpya na watawala kuwasililiza wananchi. Hatuna haja ya D9, "Rais" Samia tekeleza yakupasayo, na kweli itakuweka HURU
 
Solution to this ni kidai Katiba pendekezwa ya Warioba. Short of that kuna mauaji mengine yanakuja.
TEC wameliweka vema kabisa katika waraka wao, la Katiba mpya na atawala kuwasililiza wananchi. Hatuna haja ya D9, "Rais" Samia tekeleza yakupasayo, na kweli itakuweka HURU
Ndio hiyo wanaidai wananchi, japo waliopo madarakani wana tumia stall tacticts kuwatoa wananchi huko so far imeshindakana

Na wanaogopa kuji commit huko maana wanajua its over. Is why wanatoa empty promises
 
Hata Rasimu ya Warioba inabidi tuiboreshe zaidi. Matakwa ya wananchi yameongezeka.
 
KAtiba ya Warioba ndio mpango mzima!
Ilishatumia pesa nyingi sana za walipakodi..iendelee ilipoishia!
 
Kwenye katika mpya, Tunahitaji mashart ya kuagiza na kuuza siraha yapunguzwe.

Kila mtu alinde Familia yake
 
Ujinga wetu ndio una mpa kiburi.

Kuna wana vijiajira vya ulinzi serikalini wanajiona wako peponi, wanasahau tunaanfaika nao huku mitaani. Na utawasikia wakibeza maandamano na kujiona wao ni wa maana sana.

Iko siku yao pia.
 
Back
Top Bottom