Ndio hiyo wanaidai wananchi, japo waliopo madarakani wana tumia stall tacticts kuwatoa wananchi huko so far imeshindakanaSolution to this ni kidai Katiba pendekezwa ya Warioba. Short of that kuna mauaji mengine yanakuja.
TEC wameliweka vema kabisa katika waraka wao, la Katiba mpya na atawala kuwasililiza wananchi. Hatuna haja ya D9, "Rais" Samia tekeleza yakupasayo, na kweli itakuweka HURU
Uko sahihi kabisaHata Rasimu ya Warioba inabidi tuiboreshe zaidi. Matakwa ya wananchi yameongezeka.