Tatizo nyota au? Ni wiki sasa Jealous ya Alikiba haijashika namba 1 trending licha ya views nyingi


mahaba bana


Nimekuambia kabisa wewe form four, kilichofanya wimbo uwe na watu wengi ni huyo mwimbaji wa Nigeria ambae kwa sasa yuko vizuri kwao!!!

wimbo unaangaliwa sana pia Nigeria, hauwezi kuchukua watazamaji wa Nigeria wakaongea credit kwenye trending Tanzania

wimbo huo pia umeangalia sehemu zingia 90 duniani, so hata kama kina hafahamiki nje....wimbo huu kaung'arisha huyo mnaijeria!!!

sasa story zako za ads sio sijui sporing hazina mashiko

Diamond ka sponsor sana nyimbo zake na vijana wake na bado alikuwa Trending no. 1

acha
 
Tatizo lilianzia hapa👇
Aii si twakesha popo🦇, wakati wanatoka🚶
Aii si twakesha popo🦇, wakati wanatoka🚶
Aii si twakesha popo🦇, wakati wanatoka🚶
Aii si twakesha popo🦇, wakati wanatoka🚶
Iyooooo👀waiona iyo👉, iyo👉, iyo,👉 iyo👉
Wale twaruka priiiii🤸🤣
 

Usichokijua wimbo ukiusponsor unapata views wengi bt wanakua inorganic hivo kama kuna wimbo mwingine una organic views na unafanya vizuri hata kama imeizidi views huwezi utoa kwenye trending ndo kilichotokea baina ya Kiba na mondi ila mlokumbatia mateam hua mnakalia kubisha tu bila facts alafu wala hamtaki walau kugoogle mkajifunza
 
Hivi mnavyosema nyimbo ya alikiba imetazamwa zaid nje mnamaanisha nini?? Na hzo nchi za nje ni zipi?? Maan nyimbo ya diamond imeshika #1 trending kenya, uganda, mozambique na pia imetrend south! Hizi n baadhi tu ya nchi nnazojua mimi!! Sasa hyo ya alikiba ni nje wapi ndo imetazamwa zaid maan hata huko niger alipofanya featuring haijatrend!!
 
watu mna moyo
nakutumia hela na ya tozo

honestly sojasoma
 
mtasema yote

mtazoea tu
 
kashika no.1 trending mexico, peru, bolivia, sudan ya kusini, UK na Ghana

ukibisha mchawi
 
Reactions: Qwy
Hivi mnapataga wapi muda wa kufuatilia nyimbo za wasanii huko youtube? Mnalipwa au ni vipi mazee? Tupeane dili kama hii kazi inalipa
 
kashika no.1 trending mexico, peru, bolivia, sudan ya kusini, UK na Ghana

ukibisha mchawi
Nimeangalia hzo nchi zote ngoma ya alikiba haipo trending wala haijawah kuingia!! Usiandike kiushabiki! Af ukiwa unadangaya angalia na vya kudanganya, hv unajua soko la UK lilivyo gumu wewe au unaandika tu??
 
Ukiona wimbo una views nyingi alafu kwenye trending unazidiwa na wimbo wenye views wachache ujue wimbo huo upo sponsored
Duuuh ndio nimejua leo hii hebu fafanua zaidi hapa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe wa kumtunzia heshima Kiba!! Wonders wonders!!
 
Ni kweli af umesahau pia moldovia, tnidad&tobago,tunisia na poland ila jamaa hapend show off
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe wa kumtunzia heshima Kiba!! Wonders wonders!!
Hivi hata back in 2014 to 2015 wakati JF kuna ligi kali kati ya Mond na Kiba ulishawahi kuona namsema vibaya Kiba?! Najua Team Kiba kilichokuwa kinawauma ni pale tulipokuwa tunatoa nondo kuhusu Mond, and that's it!!!

Nakumbuka wakati Team Kiba mkishadadia umalaya wa Mond huku mkimuon Kiba mtakatifu, mimi nilikuwa nafahamu wakati huo Kiba alikuwa na watoto 3 kwa mama watatu tofauti, na alikuwa anamtafuna Tunda tena wakati huo Tunda alikuwa kitoto kidogo tu... but I never broke it here!!

Isitoshe, hakuna mpenzi wa muziki Bongo ambae hajawahi kuwa mfuasi wa Kiba kwa sababu ndie hapo b4 alikuwa juu kabla hajaanza ku-flopy kutokana na uzembe wake mwenyewe!!!
 
Hayo yooote yalisemwa, hakuna lililobakishwa.
 
Hayo yooote yalisemwa, hakuna lililobakishwa.
Issue sio kusemwa bali kusemwa wakati upi; na ndo maana baada ya watu kuweka wazi ndipo simulizi za "utakatifu" wa Kiba zikaishia hapo wakati sie wengine tuliyafahamu hayo hata kabla taarifa hazijawekwa JF!!!
 
Issue sio kusemwa bali kusemwa wakati upi; na ndo maana baada ya watu kuweka wazi ndipo simulizi za "utakatifu" wa Kiba zikaishia hapo wakati sie wengine tuliyafahamu hayo hata kabla taarifa hazijawekwa JF!!!
Utakatifu wa kiba!!!! Kumbe mlikuwa mnamwona ni mtakatifu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…