Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe mlivyokuwa mnashadadia the so-called umalaya wa Mond mlikuwa mna maana ipi kama sio mliamini Kiba alikuwa mtakatifu kwa sababu tu mlikuwa hamuwajui mademu wake?!Utakatifu wa kiba!!!! Kumbe mlikuwa mnamwona ni mtakatifu!!
Labda wewe ndio ulimwona mtakatifu.Kumbe mlivyokuwa mnashadadia the so-called umalaya wa Mond mlikuwa mna maana ipi kama sio mliamini Kiba alikuwa mtakatifu kwa sababu tu mlikuwa hamuwajui mademu wake?!
Tofautisha kati ya organic na inorganic views!!! Ukinunua inorganic views utaumbuka tu, ndo hapo unakuta mtu anakimbiza lakini kwenye trending hayupo kwa sababu ni inorganic views!!!Ila mashabiki wa mondi bwana!! Ilipokuwa ikisemwa mondi ananunua views mlitetea hadi tone la mwisho kuwa hilo haliwezekani hata iweje! Sasa mbona mmegeuka this time[emoji848][emoji848]
Au now hilo linawezekama?
Mimi ndo nimuone mtakatifu wakati nilikuwa kwenye music industry since early 2000's na hivyo nilikuwa nayajua mambo yake ay ndani ambayo wengine mlikuwa hamyajui!! Na mlikuwa hamyajui kwa sababu kwa asili Kiba ni very secretive!!Labda wewe ndio ulimwona mtakatifu.
Kiba hapend show off...ana trend zake USA uko
Haya yanawezekana sasa hivi kwa kiba tu eeh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tofautisha kati ya organic na inorganic views!!! Ukinunua inorganic views utaumbuka tu, ndo hapo unakuta mtu anakimbiza lakini kwenye trending hayupo kwa sababu ni inorganic views!!!
And guess what... kuna mjanja mmoja hivi sasa ndo anafanya hiyo shughuli US, na inaelekea Google bado hawajaweza kugundua ujanja wake lakini kwa zamani, hao inorganic views walikuwa hawadumu more than 24 hours kabla hawajafyekwa!!!
Acha kujifanya unanijua, dadangu!!Tunamtunzia heshima my foot.
Unabana pua kudai unamtumzia heshima mtu ambaye hafahamu hata kuna existence ya kiumbe chenye chuki kama wewe. Embu acha kumtunzia heshima tuone nini kitatokea.
Unajipa umuhimu ambao huna mshamba wewe. Unabana pu -tunamtumzia heshima-
Wewe mwenyewe huna heshima utamtuzia nani? Get lost mshamba
Wacha we!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi ndo nimuone mtakatifu wakati nilikuwa kwenye music industry since early 2000's na hivyo nilikuwa nayajua mambo yake ay ndani ambayo wengine mlikuwa hamyajui!! Na mlikuwa hamyajui kwa sababu kwa asili Kiba ni very secretive!!
Hivi kusoma hujui hata picha ukutani huzioni?!Haya yanawezekana sasa hivi kwa kiba tu eeh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inauma eeh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi kusoma hujui hata picha ukutani huzioni?!
Kuna wakati Diamond wimbo wake ulikuwa na views wa kutosha halafu ukaashindwa ku-trend?! Ingia hata YouTube trending ya Ningeria, utakuta nyimbo pekee zilizo kwenye trending list ni za Diamond!!!
FYI, huyo Kiba mnayedanganyana hapa eti hayupo trending kwa sababu views wake ni wa Nigeria, huko HAYUPO hata kwenye Top 500!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]JF kila mtu ni mzito. Nimemdharau sana huyu kijana wa form 4
Sasa niumie kisa Kiba hayupo hata kwenye Top 500, au?!Inauma eeh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ugua pole.Sasa iume kisa hayupo hata kwenye Top 500, au?!
Pole wewe na wenzake mliokuwa mnadanganyana kwamba ana-trend Nigeria wakati hayupo hata kwenye Top 500!!!Ugua pole.
We kashinde youtube ukiview bwana, muendelee kutrend[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pole wewe na wenzake mliokuwa mnadanganyana kwamba ana-trend Nigeria wakati hayupo hata kwenye Top 500!!!
Now let's get back to business...We kashinde youtube ukiview bwana, muendelee kutrend[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We kahaba nimekuambia acha kujifanya unanijua, kima wewe!!! Au unatafuta basha kwa nguvu?Wacha ushamba wewe.
Inorganic traffic hata google wenyewe wanaijua. In fact, google ndo unawalipa wao kuu promote wimbo wako kwenye channel mbali mbali.
Issue ya trending ipo ki nchi. Kama Mondi na Kiba wote wamepata views milioni 5 lakini katika hizo Kiba amepata milioni 2.7 tanzania na the rest Nigeria kwa mfano, then Mondi milioni 3 katika 5 ni za Tanzania, ni obvious Mondi ndo ata trend juu.
Kama hujui kitu ukikaa kimya utafungwa jela wewe jamaa?
Why you getting jealous[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Now let's get back to business...
Kwanini Kiba hayupo trending pamoja na kuvuna Views wa kutosha within 24?!