Tatizo nyota au? Ni wiki sasa Jealous ya Alikiba haijashika namba 1 trending licha ya views nyingi

Why you getting jealous[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji443][emoji444][emoji445][emoji442]
Huna jibu, then let me ignore you if you don't mind!!!
 
Sitafuti makahaba JF!!
 
Nyongeza...

Tunaona kiba saizi kaanza hivi vitu ambavyi enzi hizo miaka ya 2016 team yake wakiona mondi anafanya hivi wanasema ananunua views πŸ˜‚πŸ˜‚ Miaka mingi imepita ndio anastuka na kujua kuwa ni njia halali kabisa ya kupromote video.

Mondi alishafanya hizi sana mpaka akawa anafahamika na kuitwa huko nchi ambazo wengi hatuzijui kama Mayotte, Hii yote ilitokana na ku promote mziki wake, Any way saizi mondi anakula mavuno tu.

 
Mashabiki wa Kiba ni kama hamnazo...

Hili nalo walikuwa wanamsifia, na kumponda Diamond kwamba anategemea collabo huku Kiba mwenyewe akisema hawezi kutoa ngoma back to back kwa sababu ngoma zake ni kali na zilikuwa zina uwezo wa kudumu kwa miaka!!!

Hilo nalo, mashabiki zake wakawa wanashangilia!!!

Leo hii wanaumbuka, wanaanza kujikesha chekesha!!! Yaani Kiba ana-operate beyond expiry date!!

Yaani yale ambayo wenzake walianza kuyafanya way back 2014, huku yeye na mashabiki zake wakiponda, hatimae ndo wanakuja kuona huo umuhimu leo huku mashabiki wake wakisahau walichokuwa wanasema!!
 
Kiufupi ni kwamba Kiba anapata views zake kwa kulipia matangazo ya sponsored ya instagram na fb, haya mambo kina mondi walipoyafanya miaka ya 2016 ndo hawa hawa walikuwa wanasema ananunua views kwa kufanya kama wanachifanya le πŸ˜‚πŸ˜‚.

Kiufupi videi ya kiba haipati views wengi kutoka Tz, hili ni mojawapo la tangazo lake, watu wa sudan, algeria, zimbabwe, iraq, afghanistan huenda ndio wakiona hili tangazo wanaongeza views za kiba πŸ˜‚πŸ˜‚ Kuna kozi za haya mambo ila naona kiba kakurupuka, haya matangazo inabidi mtu awe na ujuzi wa "Targeting" ili tangazo lifikie "relevant audience" bila hivi ndo matokeo yake kama mnavyoona, video inajazwa na views za pakistani na iraq huko watu wanaminya tangazo lolote na views zinapanda, hizi views za huko palestina, pakistani, iraq, n.k huwa zinaongeza quantity tu ila hazina quality
 
Matusi ni mkongojo unaotumiwa na wenye ulemavu katika ujenzi wa hoja. Nimeendelea kukudharau bwana mdogo
We kahaba umesahau ni wewe ndie uliibuka from nowhere na kuanza matusi? VERY STUPID
 
We kima nimeshakuambia sitafuti makahaba humu!! So, stop pushing harder
 
Afu utasikia bongee la ngomaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Jambo la kufurahisha ni kuwa mkishabishana weeee mnarudi kubishana na magodoro yenu huku hao mnaowabishania wakiandaa cha kuwafanya mbishane mkiamka. Mzunguko wa ubishani mpaka kaburini yaani.
 
Are not misleading, clickbaity or sensational

Halafu hiyo ndo umeitafsiri kama 'sponsored' Aisee wewe hata vimisamiati vidogo vidogo vya kiingereza huvijui. Nimezidi kukudharau. Ptuuu....mate usoni
Nimekuambia sitafuti makahaba JF!!
 
Neno kahaba limekukaa sana. Wewe ni mmoja wao? Ulivyo kichwa maji unaona mimi kukuita mshamba ni tusi wakati ni kweli wewe ni bonge ya mwanakitongoji.

Nimezidi kukudharau bwana mdogo
Stop bushing harder, bitch....

Hivi hujishtukii?!
 
Kalagabaho na ushamba wako bwana mdogo. Jukwaa limekudharau
Then lemme ignore you if you don't mind, but next time, unatakiwa kuanza kujadili mada lakini sio unaibuka from nowhere na kuanza matusi kwa mtu ambae hajakukosea popote!!!
 
Wewe utakua mmoja wa makahaba. Haiwezekani wamekukaa kichwani hivyo.

Tunazidi kukudharau mshamba. Ptuuu..........mate usoni
IGNORED! IGNORED! IGNORED! IGNORED!
 
IGNORED! IGNORED! IGNORED! IGNORED!
Mkuu achana nae huyo πŸ˜‚πŸ˜‚ video hii huenda tangazo limeminywa na kuongeza views kutola pakistani, palestina, iraq, n.k
 
Washamba mliojawa wivu na husuda mmekutana kujadili maendeleo ya wanaume. Kweli ME ni endangered specie kwa sasa
topic imebadilika πŸ˜‚πŸ˜‚ Ali kiba atafute mtu wa kumfanyia matangazo vizuri, huko pakistani na india wapi na wapi na bongo flava, Harmonize ila ndio alizidisha aisee, video yake mpya hii naona hajachokonoa kitu baada ya kuona kastukiwa video iliyopita, Msanii wake kili alitoa ngoma ipo namba 12 huko ila imeingiza viewa milioni ndani ya siku πŸ˜‚, wapakistani na wahindi wama fujo sana.
 
Kiba hizi nyara za serikali kala sana hapo bado Giggy kamtafuna bado mbichi na mshepu wake, Elizabeth Michael huyu tena kamla kipindi bado yupo Perfect Vision mara kibao alikuwa anakujaga kumchukua kwao Tabata.

Kipindi mwenyewe anasema kapumzika kufanya mziki, kumbe alikuwa analelewa na Madam Rita nae alizionja hela za Mzee Machache.
 
Kiba amewahi kuflop lini mzee,mbona una unazi wa ajabu sana??

Mond kuwa mkali zaidi ya kiba haimaanishi kiba ameshuka.
 
Mkuu gape limefika ngapi huko???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…