Organic & inorganicDuuuh ndio nimejua leo hii hebu fafanua zaidi hapa
Na sasa hivi waliokuwa wakisema fulani ananunua nao wameacha baada ya kutokea upande wao.Ukiwafuatilia mashabiki wengi Sasa hivi hawazumgumzii views wamehamia kwenye trending kwa nilichogundua kwamba wanataka tuamiani kuwa kuna msanii ni mkubwa kwenye industry ya bongo ndio point of reference, kitu ambacho sio sahihi maana ili mziki wetu ukue lazima tuwe na wasanii wengi ili kupush mziki wetu iende mbali zaidi maana pioneer wa bongo music na mashabiki wao hawakua hivi ndio maana mziki ukakua ila Sasa hivi kumeibuka kundi la watu linalohakikisha kumshusha msanii moja ili mwingine apande huu ni ujinga, ndio maana muziki wetu unapata shida kutoboa mbali zaidi kwa sababu ya ubinafsi
Sasa kutrend ndio imekua issue kitu ambacho huyu aliyekuwa anajifanya kuwa na views nyingi Sasa hivi hamna kitu kwa sababu hana kipya kwenye mziki wako kwa sababu nyimbo zake ni bubblegumNa sasa hivi waliokuwa wakisema fulani ananunua nao wameacha baada ya kutokea upande wao.
Sasa huyu mwenye views nyingi wakati hatrend naye tusemaje, wakati kipindi cha nyuma alikuwa anadai mwenzake ananunua views nae tusemaje au kaamua kununua na yy.Sasa kutrend ndio imekua issue kitu ambacho huyu aliyekuwa anajifanya kuwa na views nyingi Sasa hivi hamna kitu kwa sababu hana kipya kwenye mziki wako kwa sababu nyimbo zake ni bubblegum
Ha ha ha hawaelewekiIla mashabiki wa mondi bwana!! Ilipokuwa ikisemwa mondi ananunua views mlitetea hadi tone la mwisho kuwa hilo haliwezekani hata iweje! Sasa mbona mmegeuka this time[emoji848][emoji848]
Au now hilo linawezekama?
Umejibu vizur mnoo..jamaa nilikua simuelewi nazan hata hajui matangazo kazi yakemwongo!!! yaani limekutoka tu jibu puuuuuu
Nyie ndo huwa mnakana mpaka mama zenu
usiandike ujinga public hata kama unatumia jina la uongo ni aibu
Trending ni kitu cha nchi fulani na nchi fulani
wimbo wa kiba unaangaliwa na watu wengi wa nje pia kwenye nchi zao, na ni kwa sababu ya collabo na huyo mnigeria.....
Diamond wimbo wake unaangaliwa na wengi wa ndani, akifuatiwa na ali kiba.. .
kuna watu huko chini wana view 48m ila sio watazamaji wa ndani......Trendjng ni idadi ya watazamaji wa mahali husika wanaangalia kwa wingi kiasi gani kwenye video??
usikurupuke kutoa majibu bila utafiti ni uchawi pia