YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Magufuli alikuwa hata zaidi ya kiongozi wake papa na maaskofu alikataa lockdown na kuzuia ibadaHawa jamaa wanaelewa ila wanachokifanya ni kupambana na mtu aliyetangulia mbele ya haki.
Wakati papa alijifungia ndani akisalisha online kuogopa corona!!
Hata Askofu wake Chato alifunga makanisa watu wasiende kysali kisa eti Corona .!!!
Hata siku ya mazishi uwanja mzima hakuna mtu alivaa barakoa isipokuwa Askofu katoliki Jimbo la Dar es salaam!!! Na sista aliyeongozana naye na mapadre!!! Waumini wa katoliki Hakuna aliyevaa barakoa!!! Hongera kwa Askofu AliyemIzika Chato raisi wa Baraza la maaskofu katoliki Tanzania hakuvaa barakoa Wala Nini aliona ujinga Askofu una kibarakoa waumini hawana!!!! akili kichwani unazo kweli? Wakati waumini Ni ma doctor , maprofesa nk hawavai barakoa Wala Nini? Hawajui kuhusu Corona?
Magufuli akionyesha wazi kuwa viongozi wengi wa dini hawamtegemei Mungu tumaini lao liko kwenye barakoa na Chanjo
Nenda mikanisa ya katoliki kibao wavaa barakoa Ni.mapadre na Maaskofu sio waumini!!! Ina maana waumini wanamwamini Mungu kuliko Maaskofu na mapadre was katoliki .Na makanisa wanayoyaongoza sio ya laymen Ni ya wasomi wa dunia ikiwemo udaktari lakini unashangaa Askofu na Padre ndie kibarakoa hakimtoki mdomoni.Ina maana kwa Sasa waumini Wana imani kuu kuliko mapadre na Maaskofu!!!
Magufuli ndio aliwahubiria bila kuhubiri
Actions speaks louder than words.Padre au Askofu kuvaa barakoa kwenye ibada iliyojaa waumini wasio na barakoa .It speaks louder than Homilia au mahubiri ya Padre Au Askofu !!!
Magufuli aliwaumbua Maaskofu na mapadre akiwa hai na hata alipokufa Dar aliwaumbua Maaskofu na Mapdre wa Dar kuwa Ni faithless!!!! Ina maana umati wore ule Hakuna aliyejua kuwa mkusanyiko unatakiwa uvae barakoa isipokuwa Askofu na mapadre tu??? Mmmmmm
Magufuli alisoma seminary alijua kukitokea ombwe anatakiwa ku take over hata Kama sio kiongozi wa dini.Sababu wao hawajashika nafasi yao !!!