RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 1,472
- 2,766
Tumekua tukikosoa Sana personality za viongozi Kila awamu,tukikemea ubadhirifu,rushwa na wizi wa Rasilimali zetu bila kujua tatizo kuu ni taasisi ya Dola ambayo inalinda utaifa,mipaka na vipaumbele vya taifa hili.
Kila kiongozi anaeingia anakua na vipaumbele binafsi badala ya vya taifa letu na Dola huapa kumlinda Kwa Kila namna hata kwenye makosa na hisia binafsi Dola humlinda huyo mtu!
IPO haja kiapo Cha uongozi kibadilike kisiwe tena kumlinda kwenye Kila kitu Bali kwenye maslahi mapana ya taifa!
Dola inapaswa kuapa kumlinda kiongozi kwenye utekelezaji wa vipaumbele vya taifa na sio kwenye Kila kitu hata hisia binafsi!
Lazima kiongozi aelezwe "Tutakulinda kwenye vipaumbeke vya taifa na sio kwenye mambo binafsi yaliyokinyume na vipaumbele vyetu kama taifa"
Maana yake akivunja Sheria au kutumia kiti chake vibaya atashughulikiwa kama mtu yeyote Baki kisheria na nafasi yake ataipoteza!
Ndio maana tunataka katiba mpya iainishe namna kiongozi atakavyolindwa katika kutekeleza majukumu ya kitaifa na vinginevyo!
Rais hapaswi kuamua matumizi ya pesa za umma kutibu hisia binafsi Bali aongozwe namna ya kutumia fedha hizo Kwa mstakabali wa ustawi wa taifa!!
Taasisi ya Dola na Sheria zinapaswa kuwa juu ya kiongozi na sio kiongozi kuwa mkubwa kuliko sheria!!
Tumakinike!