Tatizo sio mitaji tu, hata majina ya biashara ni changamoto sana😂😂😂

Tatizo sio mitaji tu, hata majina ya biashara ni changamoto sana😂😂😂

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
Ona hili jina la Biashara😅😅😅
na bado niingie na mama mkwe kunywa soda
FB_IMG_1661959505867.jpg
 
Umefuata jina au huduma......
pengine kwao neno matako lina maana nzuri kuliko hiyo unayoifahamu wewe

Sawa na watu fulani wa kusini unguja, kwao neno tembo ni matusi ila upande mwengine ni mnyama
 
Arusha kuna baa inaitwa matako bar na watu wanajaa
 
Back
Top Bottom