Nyuki Mdogo JF-Expert Member Joined Oct 31, 2021 Posts 4,134 Reaction score 10,644 Aug 31, 2022 #1 Ona hili jina la Biashara๐ ๐ ๐ na bado niingie na mama mkwe kunywa soda
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Aug 31, 2022 #2 Wapi Huko
DAEMUSHIN JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 22,428 Reaction score 120,464 Aug 31, 2022 #3 Umefuata jina au huduma...... pengine kwao neno matako lina maana nzuri kuliko hiyo unayoifahamu wewe Sawa na watu fulani wa kusini unguja, kwao neno tembo ni matusi ila upande mwengine ni mnyama
Umefuata jina au huduma...... pengine kwao neno matako lina maana nzuri kuliko hiyo unayoifahamu wewe Sawa na watu fulani wa kusini unguja, kwao neno tembo ni matusi ila upande mwengine ni mnyama
Mr muhuni JF-Expert Member Joined May 26, 2014 Posts 1,298 Reaction score 1,266 Aug 31, 2022 #4 mbona Arusha kuna bar inaitwa matako bar mitaa ya mianzini hivi
M Maikoel JF-Expert Member Joined Mar 9, 2019 Posts 1,039 Reaction score 1,584 Sep 1, 2022 #5 Huyo hapo mbona hana?
Mbekenga JF-Expert Member Joined Jun 14, 2010 Posts 3,262 Reaction score 8,144 Sep 1, 2022 #6 Niliona mwingine ameweka bango kuuubwa limeandikwa KAMANA, nikajua mitaa hii Mhaya hanunui bidhaa wala hakatizi na ndugu yake
Niliona mwingine ameweka bango kuuubwa limeandikwa KAMANA, nikajua mitaa hii Mhaya hanunui bidhaa wala hakatizi na ndugu yake
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,197 Reaction score 128,160 Sep 1, 2022 #7 Kennedy said: Wapi Huko Click to expand... Chato hii
Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 19,687 Reaction score 23,689 Sep 1, 2022 #8 Get Rich said: Ona hili jina la Biashara[emoji28][emoji28][emoji28] na bado niingie na mama mkwe kunywa soda View attachment 2341113 Click to expand... Hivi Kuna watu mnaenda kunywa Soda kwenye bar na mama mkwe kweli? Wapi huko?
Get Rich said: Ona hili jina la Biashara[emoji28][emoji28][emoji28] na bado niingie na mama mkwe kunywa soda View attachment 2341113 Click to expand... Hivi Kuna watu mnaenda kunywa Soda kwenye bar na mama mkwe kweli? Wapi huko?
Nyuki Mdogo JF-Expert Member Joined Oct 31, 2021 Posts 4,134 Reaction score 10,644 Sep 1, 2022 Thread starter #9 Kadhi Mkuu 1 said: Hivi Kuna watu mnaenda kunywa Soda kwenye bar na mama mkwe kweli? Wapi huko? Click to expand... Kwenye vikao vya HARUSI..
Kadhi Mkuu 1 said: Hivi Kuna watu mnaenda kunywa Soda kwenye bar na mama mkwe kweli? Wapi huko? Click to expand... Kwenye vikao vya HARUSI..
Dabil JF-Expert Member Joined Sep 30, 2021 Posts 6,823 Reaction score 15,293 Sep 1, 2022 #10 Arusha kuna baa inaitwa matako bar na watu wanajaa