Tatizo sio uwezo, Hawa wachezaji wapya wa Simba wameshajiweka kinga kwa msimu mpya?

R-K-O

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2023
Posts
482
Reaction score
2,178
Mchezaji anaweza kuletwa hapa Simba yupo vizuri sana ukimfatilia huko alikotoka ila msimu ukianza unakuta uwezo unashuka, majeraha, kukosa namba ilhali yuko poa na vimbwanga vingine sana baada ya kupigwa "VIPAPAI".

Hawa wachezaji wapya ni vema wafanyiwe kinga.
 
Serunkuma alipotea mazima hapo Simba.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Hasa john, wakuogopa sana yule.
 
Makolo mnapenda uchawi sana. Mnasajili michezaji isiyoeleweka mkipigwa mnakimbilia ulozi why? Hip uchawi umeishawasaidia Nini? Mbona Yanga anawazidi kila kitu isipokuwa makombe ya Pombe? Kama huo Uchawi wenu ungekuwa na faida basi mngeishachukua klabu bingwa Africa.
 
Kwa John Boko kubaki naamini kweli uchawi upo Simba.
 
Tumechukua watu kutoka nchi ambazo ni wakali wa hizo kazi. Wakongo kazi yao mnaijua! Cameron na Ivory Coast ndio kabisa misumari ndio vitafunwa kwao.

Labda umri uwe sababu za pancha kama Mugalu.
 
Yanga ina hazina kubwa sana ya wapumbavu
 
Usiwe na wasiwasi Mkude ameshaondoka misumari inaamia yanga
 
Timu inaroga mpaka wachezaji wake! Mambo ya ajabu kabisa haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…