Kama jibu ni ndiyo basi GENTAMYCINE nichukue nafasi hii kuwatakia kila la kheri ila kama Kawaida (kwa Unafiki Wetu tuliobarikiwa nao) Mdomoni naungana nanyi Waswahil, ila Moyoni nipo na Mwarabu ninayemuamini.
Ila mwaka huu unateseka sana, mechi ikiisha utakuja na list ya wachezaji wa USM ambao ni tegemezi na hawajaweza kuja walikua majeruhi ndio maana yanga wameshinda