GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kama anabaki basi ni vyema ila kama anataka hiyo $20,000 kila mwezi wamuache aende cz hana maajabu ya kulipwa hela hiyo.Mbumbumbu wamejaa kwenye mtego wa Eng Hersi Said
Aziz ki ashasain kabla ya kwenda likizo
Hapa anawapiga Changa la macho apige pesa ya jezi vizuri tu.
Mbumbumbu Huwa hamshtuki hata Kwa jambo dogo
Aziz ki yupo sana Yanga
Hiyo ni hela ya kawaida mkuu Kwa wachezajiKama anabaki basi ni vyema ila kama anataka hiyo $20,000 kila mwezi wamuache aende cz hana maajabu ya kulipwa hela hiyo.
Msimu ujao sina shauku nao kwasababu Yanga wamemuonea Guede
Unachosema kwamba ashasaini ni kweli mkuu manake bado tuna matumizi nae yule mwamba..Hiyo ni hela ya kawaida mkuu Kwa wachezaji
Watu wanalipwa mkwanja mrefu North Africa na hata South Africa
Hiyo hela ni karibu million 50
Japo si hapa ila team zetu zizoee tu.
Mayele anavuta zaidi ya million 90.
Ila uhakika ashasain
Aziz kama amepata Dili nzuri inabidi tumwache aende kwakua hana mkataba, amefanya Makubwa Yanga Sasa akatengeneze fedha.Unachosema kwamba ashasaini ni kweli mkuu manake bado tuna matumizi nae yule mwamba..
Lengo ni ubingwa sio pre-seasonHao Wamefilisika Kitambo, hawama fedha za Kuweka Kambi kwingineko huko duniani 'Ma mtoni' Zaidi ya Kimbiji Kigamboni..!
Nakuamini lakini umekubalije ukingizwa cha kike?Nipeni Bilioni Saba ili nibakie hamtaki naenda kwa Madiba au kwa Farao na mkinikera zaidi nabakia hapa hapa kwa Tunasuka Upya Kikosi Kikali Sports Club ili muumie zaidi na Wao nitawaomba wanipe tu Milioni 800 kwani ni Timu niliyoipenda hata kabla hamjaniroga kwa Majini yenu na nikaja Kwenu Uchawi Makafara Makubwa Daima Football Club.
Mbona kinyonge sana?Nyie wenye hela ambao boss wenu kakasirika mchukueni yupo free,hata mkifuata sehemu yoyote mnaongea nae bila kipingamizi.Haina haja ya kupitia uwani kama kwa Lawi.
Nani mnyonge? Nina Chama na Pacome.Mbona kinyonge sana?
Daah kweli maisha yanabadilika. Vyura leo mmekuwa watu wa kujipiga vifua na kutamba kwa kuwa na Chama ambaye juzi tu mlikuwa mnamuita konokono?Nani mnyonge? Nina Chama na Pacome.