Tatizo siyo Yeye kukataa Kusinya kubakia Kigamboni ila tunaogopa Akisinya tu atamaliza Fedha zote na tutarudi kutembeza Bakuli kwa Ukata utakaotukumba

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nipeni Bilioni Saba ili nibakie hamtaki naenda kwa Madiba au kwa Farao na mkinikera zaidi nabakia hapa hapa kwa Tunasuka Upya Kikosi Kikali Sports Club ili muumie zaidi na Wao nitawaomba wanipe tu Milioni 800 kwani ni Timu niliyoipenda hata kabla hamjaniroga kwa Majini yenu na nikaja Kwenu Uchawi Makafara Makubwa Daima Football Club.
 
soka la bongo mchezaji asipoendelea basi watamsema vibaya mara hana thamani hiyo mara kashachok nimesikiliza hata wanavyomsema chama sio poa wengin waelewa wengine kejeli zimezidi ila tuendelee kucheka vioja timu zetu bado sana
 
Mbumbumbu wamejaa kwenye mtego wa Eng Hersi Said
Aziz ki ashasain kabla ya kwenda likizo

Hapa anawapiga Changa la macho apige pesa ya jezi vizuri tu.
Mbumbumbu Huwa hamshtuki hata Kwa jambo dogo
Aziz ki yupo sana Yanga
 
Kama anabaki basi ni vyema ila kama anataka hiyo $20,000 kila mwezi wamuache aende cz hana maajabu ya kulipwa hela hiyo.

Msimu ujao sina shauku nao kwasababu Yanga wamemuonea Guede
 
Hiyo ni hela ya kawaida mkuu Kwa wachezaji
Watu wanalipwa mkwanja mrefu North Africa na hata South Africa
Hiyo hela ni karibu million 50
Japo si hapa ila team zetu zizoee tu.
Mayele anavuta zaidi ya million 90.

Ila uhakika ashasain
 
Unachosema kwamba ashasaini ni kweli mkuu manake bado tuna matumizi nae yule mwamba..
 
Aziz kama amepata Dili nzuri inabidi tumwache aende kwakua hana mkataba, amefanya Makubwa Yanga Sasa akatengeneze fedha.

Kuondoka kwake haita athir kwa Ligi ya Ndani ila ni pengo kwenye mashindano ya kimataifa hasa malengo ya kucheza nusu/fainali au kutwaa Ndoo.
 
Nipeni Bilioni Saba ili nibakie hamtaki naenda kwa Madiba au kwa Farao na mkinikera zaidi nabakia hapa hapa kwa Tunasuka Upya Kikosi Kikali Sports Club ili muumie zaidi na Wao nitawaomba wanipe tu Milioni 800 kwani ni Timu niliyoipenda hata kabla hamjaniroga kwa Majini yenu na nikaja Kwenu Uchawi Makafara Makubwa Daima Football Club.
Nakuamini lakini umekubalije ukingizwa cha kike?
 
Mpira biashara lazima wamuachie au waendelee kukaa nae kwa maumivu.
 
Nyie wenye hela ambao boss wenu kakasirika mchukueni yupo free,hata mkifuata sehemu yoyote mnaongea nae bila kipingamizi.Haina haja ya kupitia uwani kama kwa Lawi.
 
Mbona kinyonge sana?
 
Back
Top Bottom