Tatizo siyo Yeye kukataa Kusinya kubakia Kigamboni ila tunaogopa Akisinya tu atamaliza Fedha zote na tutarudi kutembeza Bakuli kwa Ukata utakaotukumba

Daah kweli maisha yanabadilika. Vyura leo mmekuwa watu wa kujipiga vifua na kutamba kwa kuwa na Chama ambaye juzi tu mlikuwa mnamuita konokono?
Kweli maisha yanabadilika mjiandae kuwa wavumilivu, kocha mpya wachezaji wapya so kama hamjajiandaa kwa uvumilivu na mkajifanya makocha mtatimu sana wachezaji na makocha wenu.

Tunawatizama ila baada ya mechi tano ndipo magalasa na wachezaji wazuri wataonekana.
 
Subiri masimango ya Mo ndiyo mtajua hamjui!
 
Unataka tuwe wavumilivu ila wewe unajiandaa kutoa hukumu ya uwezo wa wachezaji baada ya mechi tano tu. Kuna mantiki hapo kweli?
 
Tusubirie tuone maana hata Ligi yao bado haijaisha. Huyo jamaa anatapa tapa sana. Na msimu huu "Daima Football Club" lazima tucheze fainali ya CAF CHAMPIONSHIP
 
Mbumbumbu wamejaa kwenye mtego wa Eng Hersi Said
Aziz ki ashasain kabla ya kwenda likizo

Hapa anawapiga Changa la macho apige pesa ya jezi vizuri tu.
Mbumbumbu Huwa hamshtuki hata Kwa jambo dogo
Aziz ki yupo sana Yanga
Hata kwa Mayele tulisikia habari hizi hizi...
Hadi leo hajawahi kupewa thank you...
 
Unataka tuwe wavumilivu ila wewe unajiandaa kutoa hukumu ya uwezo wa wachezaji baada ya mechi tano tu. Kuna mantiki hapo kweli?
Sababu timu yako hainihusu,kujenga timu upya sio swala dogo, watizame Chelsea tajiri mpya,wamesajili vijana wadogo kibao,msimu 23/24 hawakufanya vizuri, ila mashabiki bado wana matumaini natimu yao.

Nyie 5imba moyo huo mnao wa kuwavumilia wachezaji na huyo kocha mpya?,mimi upande wangu nafanya maboresho hata nikisajili garasa replacement yake ipo,wewe unaejenga timu garasa hata moja lazima liicost timu.
 
Unaita wachezaji wanaolipwa mamilioni ya pesa magarasa wakati inawezekana hata chandimu haujacheza. Hivi katika hao waliosajiliwa kuna mchezaji ambaye hauwezi kupata historia yake huko alipotoka au tafsiri yako ya garasa ni nini?

Kwanza mbona unakuwa na wasiwasi na wachezaji ambao siyo wako.
 
Sasa mchezaji humjui ni sawa ni garasa mpaka umuone ndipo utaprove uwezo wake ndani ya mechi atleast tano.

Sawa Sawadogo,Qattara,Jobe nk hawa wanalipwa malaki ya pesa sio mamilioni?

Mbona ushajijibu.Halafu mchezaji niliye mzungumzia ni wa kwako? mbona ww umereply.
 
Duh kwa hiyo mchezaji ni garasa kisa wewe haujamuona? Na hiyo standard ya kumtest mchezaji kwa mechi tano imeandikwa wapi?

Mchezaji kutoka kwenye majeruhi au kupitia kipindi cha majeruhi hakimfanyi kuwa garasa. Kramo hajacheza mwaka mzima, je ni garasa?

Narudia tena, nipe kwanza tafsiri ya garasa ili tujue tunazungumzia nini
 
Sasa sijamuona nitasemaje anajua? Au wewe mtabiri? Kama mchezaji sijamuona hana tofauti na garasa,mpaka nimuone.Tushaletewa Molinga,Yikpe,Sawadogo nk ila hamna kitu, ila kama umezoea kuuziwa maeneno ni wewe kwa sajili za kibongo mpaka ni muone.

Mechi tano hiko ni kipimo changu, ila kuna watu (Mascout) wana uwezo wa kumjua mchezaji hata kwa mechi moja,ila kwangu mechi tano.
 
[emoji706][emoji706]
 
Muacheni aziz aende kwani si mmae mpumelelo dube na mwamba wa kusinya kila mwaka.
 
Kama anabaki basi ni vyema ila kama anataka hiyo $20,000 kila mwezi wamuache aende cz hana maajabu ya kulipwa hela hiyo.

Msimu ujao sina shauku nao kwasababu Yanga wamemuonea Guede
Guede nasikia anaweza endelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…