Tatizo siyo Yeye kukataa Kusinya kubakia Kigamboni ila tunaogopa Akisinya tu atamaliza Fedha zote na tutarudi kutembeza Bakuli kwa Ukata utakaotukumba

Aziz Ki mie hata hanistui, yaan aondoke au abaki sijari wala siogopi.

Mie namuogopa Pacome, yule mbwaa ndo akitoka Yanga, Roho yangu itakua kwatuuu!! Mbwaa ana balaa yulee, simpendiiii km nini. Lol
 
Yanga washausoma mchezo nendeni kambi nje ya nchi Kwa sajiri mlizofanya mtakuja kuamka mzunguko wa pili ambako timu zote zitakuwa zimeamka , wachezaji wapya wanahitaji kuanza kuzoea hali ya hewa na vyakula Sasa huko nje, harafu mrudi ndani Yanga kashawapiga bao, kumbuka dar tu pekee Ina timu 3 pinzani Kwa hiyo Kuna pointi 9 mzunguko wa kwanza na 9 mzunguko wa pili Yanga wanabaki kigamboni mazingira ambayo watazoea mapema na kuibuka na ushindi wa mechi hizo achana na mikoani nyie nendeni nje wakirudi ndiyo waanze kuzoea hali ya hewa huko Yanga mtakuwa mnamuona tu juu
 
Kama anabaki basi ni vyema ila kama anataka hiyo $20,000 kila mwezi wamuache aende cz hana maajabu ya kulipwa hela hiyo.

Msimu ujao sina shauku nao kwasababu Yanga wamemuonea Guede
Mkuu pole, jitahidi kumsahau Guede maana ndo keshaenda hivyo😎
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Leo unamkubaliii chama? Aaaah sitakiii, ni wee umeandika au umeporwa cm? Woiiiiih
Mjukuuuuuuuuu!

Chama ndo nini bana? Aende tu πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ–

 
Mjukuuuuuuuuu!

Chama ndo nini bana? Aende tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870]

View attachment 3037733
Kuhusu Chama, mie nimeumia sana tena mno, mbona nlikua nasema hapa, ila yeye ni mchezaji anaangalia wapi ulaji wake utakua na faida kwake.

Namtakia kila kheri ktk maisha yake mapyaa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tuone sasa nyie mtasemajee, maana kila nongwa mlikua mnampa, Leo yuko kwenu huko.
 
Unatwaa vipi kombe kama hatuwezi mfunga ahly,mamelod,experence kwa team zetu bado sana
 
Mimi Aziza hersi mobeto,unyamani mtanipa TSH ngapi nije kusaini haraka?
 
Mbum
Huyu mama hua anawashwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…