Tatizo siyo Yeye kukataa Kusinya kubakia Kigamboni ila tunaogopa Akisinya tu atamaliza Fedha zote na tutarudi kutembeza Bakuli kwa Ukata utakaotukumba

Tatizo siyo Yeye kukataa Kusinya kubakia Kigamboni ila tunaogopa Akisinya tu atamaliza Fedha zote na tutarudi kutembeza Bakuli kwa Ukata utakaotukumba

Aziz Ki mie hata hanistui, yaan aondoke au abaki sijari wala siogopi.

Mie namuogopa Pacome, yule mbwaa ndo akitoka Yanga, Roho yangu itakua kwatuuu!! Mbwaa ana balaa yulee, simpendiiii km nini. Lol
 
Yanga washausoma mchezo nendeni kambi nje ya nchi Kwa sajiri mlizofanya mtakuja kuamka mzunguko wa pili ambako timu zote zitakuwa zimeamka , wachezaji wapya wanahitaji kuanza kuzoea hali ya hewa na vyakula Sasa huko nje, harafu mrudi ndani Yanga kashawapiga bao, kumbuka dar tu pekee Ina timu 3 pinzani Kwa hiyo Kuna pointi 9 mzunguko wa kwanza na 9 mzunguko wa pili Yanga wanabaki kigamboni mazingira ambayo watazoea mapema na kuibuka na ushindi wa mechi hizo achana na mikoani nyie nendeni nje wakirudi ndiyo waanze kuzoea hali ya hewa huko Yanga mtakuwa mnamuona tu juu
 
Kama anabaki basi ni vyema ila kama anataka hiyo $20,000 kila mwezi wamuache aende cz hana maajabu ya kulipwa hela hiyo.

Msimu ujao sina shauku nao kwasababu Yanga wamemuonea Guede
Mkuu pole, jitahidi kumsahau Guede maana ndo keshaenda hivyo๐Ÿ˜Ž
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Leo unamkubaliii chama? Aaaah sitakiii, ni wee umeandika au umeporwa cm? Woiiiiih
Mjukuuuuuuuuu!

Chama ndo nini bana? Aende tu ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ–

IMG-20240701-WA0270.jpg
 
Mjukuuuuuuuuu!

Chama ndo nini bana? Aende tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870]

View attachment 3037733
Kuhusu Chama, mie nimeumia sana tena mno, mbona nlikua nasema hapa, ila yeye ni mchezaji anaangalia wapi ulaji wake utakua na faida kwake.

Namtakia kila kheri ktk maisha yake mapyaa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tuone sasa nyie mtasemajee, maana kila nongwa mlikua mnampa, Leo yuko kwenu huko.
 
Aziz kama amepata Dili nzuri inabidi tumwache aende kwakua hana mkataba, amefanya Makubwa Yanga Sasa akatengeneze fedha.

Kuondoka kwake haita athir kwa Ligi ya Ndani ila ni pengo kwenye mashindano ya kimataifa hasa malengo ya kucheza nusu/fainali au kutwaa Ndoo.
Unatwaa vipi kombe kama hatuwezi mfunga ahly,mamelod,experence kwa team zetu bado sana
 
Nipeni Bilioni Saba ili nibakie hamtaki naenda kwa Madiba au kwa Farao na mkinikera zaidi nabakia hapa hapa kwa Tunasuka Upya Kikosi Kikali Sports Club ili muumie zaidi na Wao nitawaomba wanipe tu Milioni 800 kwani ni Timu niliyoipenda hata kabla hamjaniroga kwa Majini yenu na nikaja Kwenu Uchawi Makafara Makubwa Daima Football Club.
Mimi Aziza hersi mobeto,unyamani mtanipa TSH ngapi nije kusaini haraka?
 
Mbum
Nipeni Bilioni Saba ili nibakie hamtaki naenda kwa Madiba au kwa Farao na mkinikera zaidi nabakia hapa hapa kwa Tunasuka Upya Kikosi Kikali Sports Club ili muumie zaidi na Wao nitawaomba wanipe tu Milioni 800 kwani ni Timu niliyoipenda hata kabla hamjaniroga kwa Majini yenu na nikaja Kwenu Uchawi Makafara Makubwa Daima Football Club.
Huyu mama hua anawashwa sana
 
Back
Top Bottom