Tatizo ujasiri wa jaji Warioba huonekana pale tu kwenye tawala zenye uhuru wa kujieleza

Kwa hiyo unampangia Warioba ni muda gani aseme?

Busara maana yake ni pamoja na kujua ni wakati gani wa kusema.
Wanataka afikiri wanavyotaka wao, a.k.a kujizima data, yaani nayeye awe ana ahirisha kufikiri kizalendo
 
W
Sio angeweza alimkosoa sana tu. Watu huwa wana tabia ya kusahau

Mimi nadhani mtu kama warioba kwa umri alionao wala hata haihitaji kupambana nae. Ni kuacha aseme tu yale anayotaka basi
Wapi WARIOBA alithubutu kumkosoa Jiwe?
 
Wabongo wengi hamnazo,Leo mnajitia wajaanja kukokosoa mmesahau kabisa ule mkono wa chuma.
Uhuru wa kujieleza na demokrasia uko kwa chawa pekee.
Msijitoe akili kwa mambo yaliyo wazi.
 
Ulitaka apigwe tena? 🀣🀣 Tena kichapo cha mbwa koko. Anapenda kuwaonea waswahili wa pwani 🀣🀣🀣. Anatumwa na mke wake yule mchaga🀣🀣
 
Endeleeni kumtumia nyie chadema labda wanachama waliosajiliwa watapanda kidogo kuwa laki 5
 
Machawa wanaibuka kumjibu Jaji Joseph Sinde Warioba. Jibuni hoja.zake na bahati mbaya mzee warioba huwa ananyoosha maelezo.
 
Warioba alipobana kimya JPM karudisha namba, Warioba alipopata uhuru wa kusema JK anadunda hadi leo. Kwa hiyo kuwa na amani SSH htakufa, ataishi.

Vv
 
Jiwe alimwambia anawashwa labda humjui Warioba.
 
Okkkk nimewaaelewa sasa idhu ni kipi hajawa waziri hahaa
 
That means anaangalia the right time, hiyo tu peke yake inaonyesha huyu mzee ni genius! Haropoki tu lazima apate wakati sahihi azumgumze na chawa wote wanafufuka makaburini kama huyu hapa
 
Ongea WARIOBA,ongea hadi umalize,lakini mawaziri wakuu wastaafu wapo wengi tuh nchi hii,wewe hauna u special wowote wa kujifanya kimbele mbele kwa vitu ambavyo huna UJASIRI WA kuvisimamia pale watawala madikteta wanaposhika hatamu za Dola.
Watasema wengi wa aina yako, ila hakuna mtu wa kumjiu moja kwa Moja Joseph Sinde warioba, Pia nikukumbushe Ex-PM Warioba Ni ver special, Nyie nzi wa Kijani hamuwezi ona maana hakuna Mavi pale!
 
Watasema wengi wa aina yako, ila hakuna mtu wa kumjiu moja kwa Moja Joseph Sinde warioba, Pia nikukumbushe Ex-PM Warioba Ni ver special, Nyie nzi wa Kijani hamuwezi ona maana hakuna Mavi pale!
Ana u special yule muhuni tuh kama wahuni wengine,kinachomsumbua WARIOBA ni Njaa na kupenda Attention,uzee umekuja vibaya kwake.
 
Mjahidina mna hali ngumu. Assad naye katimka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…