Hata sisi Watanganyika tunauchukia sana huu Muungano wa mchongo. CCM ndiye mchawi wa Tanganyika na Zanzibar huru.Tatizo watanganyika wameisha jimilikisha jina na nchi ya Tanzania na wameuvaa Utanzania haswa kuliko Wazanzibar.
Wanadhani Wazanzibar ni Watanzania na wanajali hata kuhusu huo Utanzania na mambo yake.
Nyie watu hamfahamu namna lilivyo kubwa hili suala la Tanganyika na Zanzibar mnapo sikia Wazanzibar hawataki na hawafurahishwi na muungano msifikiri wanatania.
Mimi nailalamikia sana idara ya usalama wa taifa katika yote haya na ubaya imekwisha twaliwa na wanasiasa na chama cha mapinduzi.
Msitegemee kamwe Mzanzibar akawa na uchungu na Tanganyika na Tanzania.
Tuwekane wazi.
Mzanzibari na Mtanganyika ni kitu kimoja, tofauti ni ubinafsi wa siasa zetu zenye kujijali kuliko kutazama picha pana.Tatizo watanganyika wameisha jimilikisha jina na nchi ya Tanzania na wameuvaa Utanzania haswa kuliko Wazanzibar.
Wanadhani Wazanzibar ni Watanzania na wanajali hata kuhusu huo Utanzania na mambo yake.
Nyie watu hamfahamu namna lilivyo kubwa hili suala la Tanganyika na Zanzibar mnapo sikia Wazanzibar hawataki na hawafurahishwi na muungano msifikiri wanatania.
Mimi nailalamikia sana idara ya usalama wa taifa katika yote haya na ubaya imekwisha twaliwa na wanasiasa na chama cha mapinduzi.
Msitegemee kamwe Mzanzibar akawa na uchungu na Tanganyika na Tanzania.
Tuwekane wazi.
Mzanzibari na Mtanganyika ni tofauti.Mzanzibari na Mtanganyika ni kitu kimoja, tofauti ni ubinafsi wa siasa zetu zenye kujijali kuliko kutazama picha pana.
Kumbuka kuna mtu Mama yake ni mwenyeji wa Makunduchi na Baba yake ni mwenyeji wa Kilwa Kivinje.
Kumbuka kuna mwingine Mama yake ni mwenyeji wa Songea na Baba yake ni mwenyeji wa Wete Pemba hawa wote wawili ni Watanzania kwa kuzaliwa kwao achana na hizo siasa za kirasimu za kwenye makaratasi.
Tafuta hela unachukua binti wa ki-zanzibar unaoa unazaa watoto wa ki-Tanzania, huo ndiyo muungano wa ukweliHela hautafuti peke yako.
Mkuu, hiki ni kichwa na nusu, akili iliyomo humu ni jumla ya akili ya ukoo wenu mzimaHaya ndio mawazo yana zunguka ndani kichwa chako.
Haishangazi IQ ya watu wa hili taifa kuwa chini kwa vichwa hivi.