Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Tatizo watanganyika wameisha jimilikisha jina na nchi ya Tanzania na wameuvaa Utanzania haswa kuliko Wazanzibar.
Wanadhani Wazanzibar ni Watanzania na wanajali hata kuhusu huo Utanzania na mambo yake.
Nyie watu hamfahamu namna lilivyo kubwa hili suala la Tanganyika na Zanzibar mnapo sikia Wazanzibar hawataki na hawafurahishwi na muungano msifikiri wanatania.
Mimi nailalamikia sana idara ya usalama wa taifa katika yote haya na ubaya imekwisha twaliwa na wanasiasa na chama cha mapinduzi.
Msitegemee kamwe Mzanzibar akawa na uchungu na Tanganyika na Tanzania.
Tuwekane wazi.