Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Kamati kuu ya CCM inaketi leo kupitia majina matano ya wagombea urais wa Zanzibar na hatimaye kupitisha majina matatu yatakayokwenda kupigiwa kura.
Up dates;
Maendeleo hayana vyama!
Zanzibar tunakwenda na DrKARIBU PROF MAKAME MBARAWA 😁😁😂😂👊👊👊
Siyo kweli kuwa Upemba ni nongwa kwenye siasa za Zanzibar. Tuache kupotosha watu, kwani huyu nayemaliza muda wake, Dr. Sheni, ni wapi? Acha kuleta visiasa vya kibaguzi.Mpemba huyo....hapiti!!!
Hakuna updates zozote?Kamati kuu ya CCM inaketi leo kupitia majina matano ya wagombea urais wa Zanzibar na hatimaye kupitisha majina matatu yatakayokwenda kupigiwa kura.
Up dates;
Maendeleo hayana vyama!
Nawatakia kila la heri katika mkutano huoKamati kuu ya CCM inaketi leo kupitia majina matano ya wagombea urais wa Zanzibar na hatimaye kupitisha majina matatu yatakayokwenda kupigiwa kura.
Up dates;
Maendeleo hayana vyama!
Na iwe hivyoakina mwinyi sioni tija yaoHahahaha, tumeota wote ..na
Dr Khalid Salum Mohammed ndio YeYe
Ubaguzi ni sumu mbaya mnoSiyo kweli kuwa Upemba ni nongwa kwenye siasa za Zanzibar. Tuache kupotosha watu, kwani huyu nayemaliza muda wake, Dr. Sheni, ni wapi? Acha kuleta visiasa vya kibaguzi.
FSiyo kweli kuwa Upemba ni nongwa kwenye siasa za Zanzibar. Tuache kupotosha watu, kwani huyu nayemaliza muda wake, Dr. Sheni, ni wapi? Acha kuleta visiasa vya kibaguzi.
Kutakuwa na kura za NDIYO na HAPANA. Lakini hazitahesabiwa hapo. Matokeo mpaka Kwanza kikao kiahirishwe waweke mpagilio mzuri wa kutangaza. He he he he!!Saalam wanabodi
CCM inaenda mpitisha mgombea wao wa urais wa Jamhuri yetu.
Fomu ilitoka moja tu ya mgombea, kwa tendo hili linatafsiri kuwa huyo tayari ndiye mgombea wao na vyama vingine.
Kuna sababu gani ya kumpitisha kwa vikao vikubwa vya kutumia gharama kubwa?
JE WAPO WANAOWEZA KUMPINGA? (Kutompitisha)
IKITOKEA WENGI HAWAKUMPITISHA NINI KITAFANYIKA ?
Karibuni
Kabisa Mkuu ,naamini itakua hivyoNa iwe hivyoakina mwinyi sioni tija yao
Wafanye figisu zote,ila watuletee mtu makini,Kutakuwa na kura za NDIYO na HAPANA. Lakini hazitahesabiwa hapo. Matokeo mpaka Kwanza kikao kiahirishwe waweke mpagilio mzuri wa kutangaza. He he he he!!
Ushike adabu yako,Wacha kabisa kumtusi MaalimHahaha....Slave Master Sultan Seif Sharif Hamad mshamchoka!?!
CCM Ubguzi ndio mila yao , Wakija Zanzibar wanatubagua kwa Uarabu,na Uafrika, Upemba na UUnguja.Ubaguzi ni sumu mbaya mno
Seif ndio chaguo la Wazanzibari,Seif sio Mwarabu Ni Mshirazi Kama alivyokuwa Thabiti KomboHahaha....Slave Master Sultan Seif Sharif Hamad mshamchoka!?!
Yataisha, hakuna kisichokuwa na mwisho... Time alone time will tell...CCM Ubguzi ndio mila yao , Wakija Zanzibar wanatubagua kwa Uarabu,na Uafrika, Upemba na UUnguja.
Hupati ajira mpaka uwe CCM, kazi za POLISI JESHI ,MIGRATION na USALAMa wa Taifa.
Mzee ndio kila kitu wote wameufyata hata akitaja jina ambalo halimo ktk yale 5 wajumbe watapasua meza kwa makofi na nderemoMbarawa chaguo la mzee!!