Zanzibar 2020 Tatu bora urais Zanzibar kujulikana leo

Mzee mwinyi mkapa kikwete wanamtaka mwinyi mtoto na Magufuli anamtaka Mbawala sasa kimbembe usije kushangaa kura za hasira wakampa Nahodha asiye na kambi yeyote
 
Watu kitu ambacho hawakijui kamati kuu ya ccm imajaa magwiji wa kutoa maamuzi magumu haijalishi mwenyekiti umekuja na mapendekezo yako wanayawekafukoni wanakupa chaguo lenye maslai mapana ya nchi ,narudia hili hakuna mwenyekiti wa ccm ambaye kafanikiwa kumpendekeza mtu wake akafanikiwa znz au mama Tz...Dr mzanzibara kesho anapewa presidential security
 
Dr. Mwinyi au Dr. Khalid?
 
Magamba bana yaani nchi imo uchumi wa chini Kati yenyewe yanashangilia,
 
Kama nilivyotabiri kwenye list yangu ndivyo ilivyokuwa Nasikia leo majina matatu yametajwa Kama ifuatavyo

Dr Khalid
Hussein
Nahodha

Ukweli uko pale pale Kama ilivyo kwenye list yangu kuwa Dr Khalid ndie mgombea uraisi upande wa Zanzibar kupitia CCM[/b]
 
Mzukulu umechemka pole sana inabidi ukamrudishie chenji mzee mbarawa maana ulimnadi sana☺☺☺

Kwani kuna Kosa kwa Mimi Kumnadi Yeye Ndugu? Si nimetimiza Haki yangu kwa Mtu niliyekuwa nikimtaka ila CCM hawajamtaka? Ninampongeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…