Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Mkuu umeenda shule?Wapambe wenyewe Sabaya,Palamagamba,Bashiru & Polepole
HaaaaaHuyu mtu amerudi,kwani ulipotelea wapi,isije kuwa mambo ya teuzi.
Mkuu umeenda shule?
[emoji106][emoji106]! Rais Obama aliwahi kuulizwa siri ya mafanikio yake ya urais wa miaka 8 bila kashfa, alijibu hivi, "As a leader, always make sure you are surrounded by smart people ".Inasemwa kuwa, busara ya kiongozi haitokani na wapambe wazuri bali, wapambe wazuri hutokana na kiongozi mwenye busara.
Ukiona kiongozi ana wapambe wabovu jua tatizo liko kwake.
Hapa bongo anakuwa salaundedi na waganga njaa[emoji106][emoji106]! Rais Obama aliwahi kuulizwa siri ya mafanikio yake ya urais wa miaka 8 bila kashfa, alijibu hivi, "As a leader, always make sure you are surrounded by smart people ".
Ndio maana Prof Baregu alisema hataki awe mshauri wa Mtu Mpumbavu. Maana akiendeleza upumbavu ataonekana anashauriwa upumbavu na mshauri wake.Inasemwa kuwa, busara ya kiongozi haitokani na wapambe wazuri bali, wapambe wazuri hutokana na kiongozi mwenye busara.
Ukiona kiongozi ana wapambe wabovu jua tatizo liko kwake.