Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Basi umeeleweka na kwa maana hiyo tuzingatie yafuatayo:
Utawala wa baba usipokuwa na msimamo kwa kuogopa kwamba ukizeeka mama atashirikiana na watoto kukunyanyasa basi mama atachukua usukani mapema na familia itaenda ki-mama mpaka uzeeni. Ili kukabiliana na hilo, wekeza kwenye rasilimali na miliki rasilimali mpaka uzeeni ili usiwe tegemezi kwa watoto au mke wako badala yake wakutegemee wewe au wakuongezee kwa kile ulichonacho.
Mi nikajua unazungumzia UTAWALA Kama UTAWALA kumbe ujinga-ujinga
Nyamaza milele, hujui anachokiongelea, Tunaomwelewa utuache, he talks really life in familiesMi nikajua unazungumzia UTAWALA Kama UTAWALA kumbe ujinga-ujinga
Usinilazimishe kumuelewa. tuliza mshono.Nyamaza milele, hujui anachokiongelea, Tunaomwelewa utuache, he talks really life in families
Usitufanye wengine hatumwelewiUsinilazimishe kumuelewa. tuliza mshono.
Jamii vichaa ni wengi sana yaani sijui watu wanastress za maisha , yani mtoa mada kasema yake kwa manufaa ya wasomaji alafu kuna chizi sijui katokea wapia analeta za ajabu yani tukapate chanjo jamani...Usinilazimishe kumuelewa. tuliza mshono.
Na wewe ROBERT HERIEL unaboa kujibu watu kama hawa. Waache wapite [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]Nafikiri hujasoma nilichoandika, au hujui hata maaana ya neno Utawala.
Hata hivyo nikupongeze Kwa muda wako uliotumia kutoa maoni yako
Kwa hyo wewe utawala unaoujua wewe ni upi?mbona watoto wa kike mnapenda kukurupuka hivi?Mi nikajua unazungumzia UTAWALA Kama UTAWALA kumbe ujinga-ujinga
Ni shida ya vibinti vinavyolelewa na wazee vinakula hela za pensheni hakiwezi katu kuelewaNyamaza milele, hujui anachokiongelea, Tunaomwelewa utuache, he talks really life in families
Mkuu hii mentality ndio inaponza washua wengi, amini mali sio kitu kabisa linapokuja swala la kuishi kama familia na amani ya familia.Basi umeeleweka na kwa maana hiyo tuzingatie yafuatayo: