Tetesi: Tawi jipya la CRDB Chato, Idadi ya wateja inadaiwa ni ya kuvunja moyo

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
1.jpg

Hii ndio habari iliyoko mtandaoni kwa sasa kuhusu lile tawi jipya liliofunguliwa hivi karibuni huko maeneno fulani ambapo japo mwanzo ni mgumu,lakini mwanzo huo unaonekana si dalili njema hata kidogo.

Maelezo yanayotolewa mtandaoni nashindwa hata kuyaamini kuhusu hilo tawi na kama madai kuhusu idadi ndogo sana ya wateja wanaofika katika tawi hilo ni ya kweli,basi ni wazi ule utafiti haukua utafuti bali ulikuwa utafuti jina tu.

Mtoa habari amewaambia waandishi wafike kujionea hali halisi.

kwa sasa najua tutajipa moyo kuwa tawi bado ni jipya ila uzuri ni kwamba hatuwezi kuendelea kujipa moyo iwapo hali kama hii itaendelea hata kwa miezi mitatu tu.

Anyway,labda tuwape muda.

Nawaza tu kama watu wataruhusiwa kupiga picha eneo hilo katika siku zijazo.
 
Roho mbaya na chuki ya ukabila inawatafuna na kuwamaliza taratibu.
Mlipofungua matawi ya hiyo Benki huko migombani mbona Watanzania walikaa kimya!?
Leo hii ndio imekuwa nongwa kisa tawi limefunguliwa sehemu anayozaliwa Rais wa nchi!
 
Jiulize hapo chato ilishakuepo bank yoyote kabla?? Je wananchi wana uelewa na masuala ya kuhifadhi pesa bank..?? Kumbuka hiyo ni biashara na ndio maana kuna bank officers kwa ajili ya kutoa elimu na kutafuta Wateja..we ulitegemea ifunguliwe tu kisha uone watu wanapishana??hizi akili za kupinga kila kitu IPO siku mtapinga hadi jinsia zenu
 
Back
Top Bottom