Tetesi: Tawi jipya la CRDB Chato, Idadi ya wateja inadaiwa ni ya kuvunja moyo

Tetesi: Tawi jipya la CRDB Chato, Idadi ya wateja inadaiwa ni ya kuvunja moyo

images (7).jpeg
 
sio lazima wote tutumie kidhungu. wengine mngebaki tukusikiliza tu
Nilikuwa na rafiki yangu mmoja, tulisoma shule moja. Alikuwa mzuri sana wa kizungu. Hakuwahi pata maksi chini ya 85%
Tukamaliza form four. Alipata Division four ya mwisho, tukisepa na One za kuanzia Pointi 8.
Rafiki yetu aliajiriwa na Mchagga kufundisha Pre-unit.
 
Kwani ule uwanja wetu wa ndege bado kuna ndege wanatua hapo Kila siku?
Maana kuna ndugu yangu anaishi huko alinambia kuna siku alipita akaona ndege wengi wametua hapo uwanjani kulikuwa na njiwa pori pamoja na joroe
 
Back
Top Bottom