Tetesi: Tawi jipya la CRDB Chato, Idadi ya wateja inadaiwa ni ya kuvunja moyo

Tetesi: Tawi jipya la CRDB Chato, Idadi ya wateja inadaiwa ni ya kuvunja moyo

Chadema wewe bomu sana sana
Huko utafikiri hamna watu wasio CCM

Sasa kuandika upupwu.unasaidiaje wananchi..
Bure kabisa...
IMG-20180317-WA0029.jpeg
 
Anyway,labda tuwape muda.
Huna takwimu,unachukua maneno ya kuambiwa mtaani unafungulia thread
Halafu mlishazoea kuona foleni benki,siku hizi mpaka pesa unaivuta kwenye simu kwenda tawini ni wafanya biashara wakubwa ambao eneo hilo ni wengi
 
Mungu aniepushe na akili hizi za kichadema watu wanataka maendeleo lkn hawataki sehemu flani iyapate hayo maendeleo,

kwa mwenye kumbukumbu nzuri wakati rais akiwa kikwete msonga haikupaswa hata kupata barabara ya changalawe ukiuliza kisa ni kwao rais hivi rais akitoka kwenu ni laana? nakumbuka timbwili la bandari ya bagamoyo kisa tu ni kwao kikwete. leo ni chato itazongwa hiyo na siku akitoka madarakani kitakachotumika kujaji kama ni kiongozi bora au boya ni hali ya chato. ukisema rais magufuri alikuwa bora utaambiwa angekuwa bora chato ingekuwa duni vile? akiitengeneza nongwa.

binafsi sipingi marais kuimarisha makwao kwa mantiki kuwa yote hiyo ni tz. mfano nyerere angaimarisha musoma, mwinyi akaimarisha huko kwao sijui unguja, mkapa kwao, kikwete kwao, na jpm kwao means tungekuwa na vimiji kadhaa vyenye uchumi imara tofauti na sasa wote tunavyojazana dar.

chamsingi tu usiinyime sehemu yenye mahitaji ukapeleka kwenu hivi mfano kuna sehemu imenyimwa crdb ikapelekwa chato? kwetu ni kijiji tu lkn tuna nmb na atm za crdb nasikia nbc pia wapo kwenye mchakato sasa kwanini niisikilizie wivu chato kwa kupata crdb? ilihali hiyo yote ni tz?
Mwinyi kwao wapi umesema??
 
Huna takwimu,unachukua maneno ya kuambiwa mtaani unafungulia thread
Halafu mlishazoea kuona foleni benki,siku hizi mpaka pesa unaivuta kwenye simu kwenda tawini ni wafanya biashara wakubwa ambao eneo hilo ni wengi
Kwa maneno ya mitandaoni hata maandamano yametiingisha serikali.
 
Malaika si alifanya upembuzi kabla ya kujenga hpo,mana hpo hela zimejaa kuliko mwanza ndio mpka wakafungua bank
 
Maamdalizi ya kuifanya Chato kuwa jiji [emoji1490][emoji1490][emoji1490][emoji1490][emoji1490][emoji1490][emoji1490][emoji1490][emoji1490][emoji1490][emoji1490]
 
Unakuzwa na nini?

Kiwango cha uelewa wa punda kutumia traffic lights imeongezeka. Pia hata idadi ya punda wanaokatiza barabarani nasikia nayo imeongezeka.

Mkuu nadhani hii yaonyesha kijiji kinakua kwa haraka ukiunganisha na utafiti wa malaika yule utagundua kuna ukweli.

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Takwimu mkuu..lete hata za kupika
watoto mji Mkuu wa tanzania ni upi?
Chato... umekosa jaribu tena....
Dar Es Salaam ... umekosa... jaribu tena...
Chato... unanitania! samahani mwalimu ni DDM... haya umepata
 
muda si mrefu makada watasombwa kwa mabasi kutoka miji mbalimbali ili wakapate huduma huko porini..
kama walivyosomba watu juzi wakashuhudie pombe anavyofungua mradi wa hela za mikopo na unyang'anyi.
 
Chato oyee.

Inamaana mtafiti mpya wa maswala ya kibenk jpm hakuona hilo la wateja wachache?
 
Jiulize hapo chato ilishakuepo bank yoyote kabla?? Je wananchi wana uelewa na masuala ya kuhifadhi pesa bank..?? Kumbuka hiyo ni biashara na ndio maana kuna bank officers kwa ajili ya kutoa elimu na kutafuta Wateja..we ulitegemea ifunguliwe tu kisha uone watu wanapishana??hizi akili za kupinga kila kitu IPO siku mtapinga hadi jinsia zenu
Hakuna sehemu inayoonesha watu kupinga,issue ni kuwa watu hawana pesa ya kuweka benki.
Lengo la Uzi ni kuonesha kuwa wakazi wa Chato,vyuma vimebana!!
Nakushauri kawape watu pesa ili foleni iwe kubwa hapo CRDB.
 
Hakuna sehemu inayoonesha watu kupinga,issue ni kuwa watu hawana pesa ya kuweka benki.
Lengo la Uzi ni kuonesha kuwa wakazi wa Chato,vyuma vimebana!!
Nakushauri kawape watu pesa ili foleni iwe kubwa hapo CRDB.
Kama huna hela ni wewe..usilazimishe watu wote wafanane na hali yako..inawezekana wakati we ulijiona una pesa kuna wengine hawakuwa nazo.. Na sasa wanazo au wako vile vile sababu mifumo yao ya upatikanaji pesa ni ule ule wa halali.
 
Back
Top Bottom