Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kwa kulazimisha. Miji kama Katoro, Kahama ama Buseresere imechangamka sana kuliko hapo kwa bosi. Nadhani ndio sababu tunatumia nguvu na rasilimali nyingi sana na nguvu kupapatia umaarufu na kupakuzaUmebez kisiasa kulko uhalisia amna namna lazma mji uje Kuwa mkubwa Sana
Jingalao ww unacheo gan serikan naona hata mpango anadanganya lkn wew kiboko duuTakwimu mkuu..lete hata za kupika
Yaani kwa akili kama hii ,wakoloni warudi afrika ili watutawale vizuri, yaani unachukulia nchi kama vyumba vya wake wenza kwamba huyu akipewa bhasi na mwingine apate ili wasioneane wivu ...yaani masuala ya kitaifa unayajadili kwa kuangalia wivu !!!!!.......Mungu aniepushe na akili hizi za kichadema watu wanataka maendeleo lkn hawataki sehemu flani iyapate hayo maendeleo,
kwa mwenye kumbukumbu nzuri wakati rais akiwa kikwete msonga haikupaswa hata kupata barabara ya changalawe ukiuliza kisa ni kwao rais hivi rais akitoka kwenu ni laana? nakumbuka timbwili la bandari ya bagamoyo kisa tu ni kwao kikwete. leo ni chato itazongwa hiyo na siku akitoka madarakani kitakachotumika kujaji kama ni kiongozi bora au boya ni hali ya chato. ukisema rais magufuri alikuwa bora utaambiwa angekuwa bora chato ingekuwa duni vile? akiitengeneza nongwa.
binafsi sipingi marais kuimarisha makwao kwa mantiki kuwa yote hiyo ni tz. mfano nyerere angaimarisha musoma, mwinyi akaimarisha huko kwao sijui unguja, mkapa kwao, kikwete kwao, na jpm kwao means tungekuwa na vimiji kadhaa vyenye uchumi imara tofauti na sasa wote tunavyojazana dar.
chamsingi tu usiinyime sehemu yenye mahitaji ukapeleka kwenu hivi mfano kuna sehemu imenyimwa crdb ikapelekwa chato? kwetu ni kijiji tu lkn tuna nmb na atm za crdb nasikia nbc pia wapo kwenye mchakato sasa kwanini niisikilizie wivu chato kwa kupata crdb? ilihali hiyo yote ni tz?
Sawa mkuuLabda kwa kulazimisha. Miji kama Katoro, Kahama ama Buseresere imechangamka sana kuliko hapo kwa bosi. Nadhani ndio sababu tunatumia nguvu na rasilimali nyingi sana na nguvu kupapatia umaarufu na kupakuza
Shame on you and your family.Kwani zaidi ya huyo jamaa kutokea huko chattle kuna mtu gani mwingine wa maana and aliyetokea huko. Tuache kuwalaumu wa migombani. Ila wale walistahili kupelekewa branch maana kule mzunguko wa pesa na watu wenye pesa wapo sana
Waifanye iwe makao makuu ya nchi,ingependeza zaidi ili mkuu wa malaika angepunguxiwa gharama na mda wa kusafiri kwao hata Kwa miguu tu angefanya mazoezi.wale Logistics wangefanya hivi:
'Wizara na Taasisi zote muhimu zihamishiwe Chato...ili zikaiunge mkono hiyo Bank...au jiji la Mwanza lihamie hapo...
Tuipende nchi yetu
Walitaka kuona viti vinajaa overnight, wanasahau hata wao walipo kuna watu walianza kufyeka msitu ili kujenga msingi wa nyumba na leo ni kati ya majiji makubwa hapa duniani.Jiulize hapo chato ilishakuepo bank yoyote kabla?? Je wananchi wana uelewa na masuala ya kuhifadhi pesa bank..?? Kumbuka hiyo ni biashara na ndio maana kuna bank officers kwa ajili ya kutoa elimu na kutafuta Wateja..we ulitegemea ifunguliwe tu kisha uone watu wanapishana??hizi akili za kupinga kila kitu IPO siku mtapinga hadi jinsia zenu
Na mtapasuka kwa wivu Na hasira. Mlidhanj maendeleo no Moshi Na Arusha tuHii ndio habari iliyoko mtandaoni kwa sasa kuhusu lile tawi jipya liliofunguliwa hivi karibuni huko maeneno fulani ambapo japo mwanzo ni mgumu,lakini mwanzo huo unaonekana si dalili njema hata kidogo.
Maelezo yanayotolewa mtandaoni nashindwa hata kuyaamini kuhusu hilo tawi na kama madai kuhusu idadi ndogo sana ya wateja wanaofika katika tawi hilo ni ya kweli,basi ni wazi ule utafiti haukua utafuti bali ulikuwa utafuti jina tu.
Mtoa habari amewaambia waandishi wafike kujionea hali halisi.
kwa sasa najua tutajipa moyo kuwa tawi bado ni jipya ila uzuri ni kwamba hatuwezi kuendelea kujipa moyo iwapo hali kama hii itaendelea hata kwa miezi mitatu tu.
Anyway,labda tuwape muda.
Nawaza tu kama watu wataruhusiwa kupiga picha eneo hilo katika siku zijazo.
Mi najua mgonjwa wa akili ni huyu aliyelazimisha tawi la CRDB likaanzishwe ChatoAliyeanzisha huu uzi atakuwa mgonjwa wa akili
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji123] [emoji123] [emoji123]!
!
Duh..... Wakiifanya Kuwa nchi ndani ya jamuhuri ya muungano itapendeza zaidi