Tetesi: Tawi jipya la CRDB Chato, Idadi ya wateja inadaiwa ni ya kuvunja moyo

Tetesi: Tawi jipya la CRDB Chato, Idadi ya wateja inadaiwa ni ya kuvunja moyo

KUNA KILA SABABU ZA KUTAFUTA KIWANJA KWA KIJIJI PENDWA.......NAONA HUDUMA MUHIM ZITAPATIKANA NYUMBANI KWA MKUU
 
Jiulize hapo chato ilishakuepo bank yoyote kabla?? Je wananchi wana uelewa na masuala ya kuhifadhi pesa bank..?? Kumbuka hiyo ni biashara na ndio maana kuna bank officers kwa ajili ya kutoa elimu na kutafuta Wateja..we ulitegemea ifunguliwe tu kisha uone watu wanapishana??hizi akili za kupinga kila kitu IPO siku mtapinga hadi jinsia zenu
Kwa leo sikujibu chochote
 
Roho mbaya na chuki ya ukabila inawatafuna na kuwamaliza taratibu.
Mlipofungua matawi ya hiyo Benki huko migombani mbona Watanzania walikaa kimya!?
Leo hii ndio imekuwa nongwa kisa tawi limefunguliwa sehemu anayozaliwa Rais wa nchi!
Usikwepe hoja kwa kwa kukimbilia hoja.Hoja msingi hapa ufanisi wa tawi.nani asiyemjua huyu ndugu kuwa tangu enzi za uwaziri ni mtu kuforce mambo
 
Acheni kufanya mchezo wakati mnajua fika hii nchi yetu ya lubondo mkoa wa chato kata ya kolomije na mtaa wa dare salaam. Kwanza mtuache bado tunajenga viwanda kwanza.
 
Siupendi utawala huu lakini ukweli ni kwamba lile jengo la CRDB lililozinduliwa majuzi halikuwa la kwanza, CRDB tayari walikuwa na office ndogo Chato tena nayo ni mpya na iko kama mita 500 kutoka hii office mpya na wateja walikuwanao ingawa si wengi kama majirani zao NMB lakini pia CRDB hawajaanza juzi kufanya biashara kule Chato maana siku nyingi tu walikuwa na machine ya ATM kule stand ya zamani yaani mji mkongwe wa Chato.
 
Mwandishi atakayesubutu kusogelea pale, ajiandaye kuomba asylum finland kama sivyo atajikuta kwenye magunia.
 
Mateller wa huko wana raha kweli

Kutwa nzima kupiga soga mwishowe wataanza kutongozana tu na kumalizana

Sasa kama wateja wanakuja 6 au 6 kwa siku kuna kazi hapo? Si bora haya walale nyumbani kusubiri mshahara

Hakuna kitu kinakera kama kweda ofsn halafu hakuna kaz za kufanya
 
Usikwepe hoja kwa kwa kukimbilia hoja.Hoja msingi hapa ufanisi wa tawi.nani asiyemjua huyu ndugu kuwa tangu enzi za uwaziri ni mtu kuforce mambo
Chuki ya ukabila inawamaliza bladifuluuuu.
 
Kuna project ya muda mrefu by 2025 itapendeza kufanya kazi na kujenga makazi Chato ambayo inasukwa taratibu. Hapa kati kati ruzuku za serikali zitafanya kazi.
 
Chuki ya ukabila inawamaliza bladifuluuuu.
Kama chuki anayo yey na wafuasi wake?Hvi unafikir yy angekua ndo jk kipindi kile angejaribu kufurukuta.Vyovote utakavyosema na kama alivyosema Dr Kimei lile limefunguliwa kwa nguvu tu za asiyepangiwa
 
Mkurugenzi alisema hahusiki huo ni utafiti wa sizonje
 
Back
Top Bottom