Mbulu
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 5,620
- 5,515
Unajenga hata barabarani,wapiga kura wake hawavunjiwi hukoWakazi wa Chato naombeni kujuzwa gharama za viwanja jijini Chato niwahi mapema nami niwe sehemu ya watu muhimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajenga hata barabarani,wapiga kura wake hawavunjiwi hukoWakazi wa Chato naombeni kujuzwa gharama za viwanja jijini Chato niwahi mapema nami niwe sehemu ya watu muhimu
naona kuna uzi unazunguka kwenye mitandao mingine, ikidai itakuwa ni mkoa wa rubondo lakini makao makuu yatakuwa ni chato, hivyo itakuwa ni rubondo, chato, kibondo na sehemu moja siikumbuki jina lake, kama ikiwa hivi tujiandae chato kuwa makao makuu ya jamuhuri miaka ijayo badala ya dodomaMkoa mpya? Upi huo?
You're too logical. Upo vizuri sana mkuuMungu aniepushe na akili hizi za kichadema watu wanataka maendeleo lkn hawataki sehemu flani iyapate hayo maendeleo,
kwa mwenye kumbukumbu nzuri wakati rais akiwa kikwete msonga haikupaswa hata kupata barabara ya changalawe ukiuliza kisa ni kwao rais hivi rais akitoka kwenu ni laana? nakumbuka timbwili la bandari ya bagamoyo kisa tu ni kwao kikwete. leo ni chato itazongwa hiyo na siku akitoka madarakani kitakachotumika kujaji kama ni kiongozi bora au boya ni hali ya chato. ukisema rais magufuri alikuwa bora utaambiwa angekuwa bora chato ingekuwa duni vile? akiitengeneza nongwa.
binafsi sipingi marais kuimarisha makwao kwa mantiki kuwa yote hiyo ni tz. mfano nyerere angaimarisha musoma, mwinyi akaimarisha huko kwao sijui unguja, mkapa kwao, kikwete kwao, na jpm kwao means tungekuwa na vimiji kadhaa vyenye uchumi imara tofauti na sasa wote tunavyojazana dar.
chamsingi tu usiinyime sehemu yenye mahitaji ukapeleka kwenu hivi mfano kuna sehemu imenyimwa crdb ikapelekwa chato? kwetu ni kijiji tu lkn tuna nmb na atm za crdb nasikia nbc pia wapo kwenye mchakato sasa kwanini niisikilizie wivu chato kwa kupata crdb? ilihali hiyo yote ni tz?
Huu nao ni ushaidi? kuna watu mnashangaza sanaHABARI NDIO HIYO MAMBO NI MOTO MTAELEWA TU![]()
Kwani zaidi ya huyo jamaa kutokea huko chattle kuna mtu gani mwingine wa maana and aliyetokea huko. Tuache kuwalaumu wa migombani. Ila wale walistahili kupelekewa branch maana kule mzunguko wa pesa na watu wenye pesa wapo sanaRoho mbaya na chuki ya ukabila inawatafuna na kuwamaliza taratibu.
Mlipofungua matawi ya hiyo Benki huko migombani mbona Watanzania walikaa kimya!?
Leo hii ndio imekuwa nongwa kisa tawi limefunguliwa sehemu anayozaliwa Rais wa nchi!
Duuh.., naona dots zina connect vizuri sna, itakuwa kweliHuyu ndio Sokoine,na Nyerere![]()
Chadema mnarukia rukia sana mmekuwa kama digidigi!Hii ndio habari iliyoko mtandaoni kwa sasa kuhusu lile tawi jipya liliofunguliwa hivi karibuni huko maeneno fulani ambapo japo mwanzo ni mgumu,lakini mwanzo huo unaonekana si dalili njema hata kidogo.
Maelezo yanayotolewa mtandaoni nashindwa hata kuyaamini kuhusu hilo tawi na kama madai kuhusu idadi ndogo sana ya wateja wanaofika katika tawi hilo ni ya kweli,basi ni wazi ule utafiti haukua utafuti bali ulikuwa utafuti jina tu.
Mtoa habari amewaambia waandishi wafike kujionea hali halisi.
kwa sasa najua tutajipa moyo kuwa tawi bado ni jipya ila uzuri ni kwamba hatuwezi kuendelea kujipa moyo iwapo hali kama hii itaendelea hata kwa miezi mitatu tu.
Anyway,labda tuwape muda.
Nawaza tu kama watu wataruhusiwa kupiga picha eneo hilo katika siku zijazo.
Yaani kijiji cha Chato kikue upesi kuwa mji kuliko Katoro? No way. Labda kwa kulazimisha mambo kama hivyoBado mapema Huu mji unakuwa kwa kasi
Kama Swaziland na S Africa sio!!!
!
Duh..... Wakiifanya Kuwa nchi ndani ya jamuhuri ya muungano itapendeza zaidi
Umebez kisiasa kulko uhalisia amna namna lazma mji uje Kuwa mkubwa SanaYaani kijiji cha Chato kikue upesi kuwa mji kuliko Katoro? No way. Labda kwa kulazimisha mambo kama hivyo
Kasi ya Kilometa ngapi kwa saa??Bado mapema Huu mji unakuwa kwa kasi
hivi hata mwaka mmoja haujafika mnaanza na nyimbo mpya???? tungoje kwanza japo mwaka mmoja halafu tuhojiHii ndio habari iliyoko mtandaoni kwa sasa kuhusu lile tawi jipya liliofunguliwa hivi karibuni huko maeneno fulani ambapo japo mwanzo ni mgumu,lakini mwanzo huo unaonekana si dalili njema hata kidogo.
Maelezo yanayotolewa mtandaoni nashindwa hata kuyaamini kuhusu hilo tawi na kama madai kuhusu idadi ndogo sana ya wateja wanaofika katika tawi hilo ni ya kweli,basi ni wazi ule utafiti haukua utafuti bali ulikuwa utafuti jina tu.
Mtoa habari amewaambia waandishi wafike kujionea hali halisi.
kwa sasa najua tutajipa moyo kuwa tawi bado ni jipya ila uzuri ni kwamba hatuwezi kuendelea kujipa moyo iwapo hali kama hii itaendelea hata kwa miezi mitatu tu.
Anyway,labda tuwape muda.
Nawaza tu kama watu wataruhusiwa kupiga picha eneo hilo katika siku zijazo.
Mzee wa msoga njoo huku ujibu swali kwa nini uliingia NEC na kikaratasi chenye jina la pogba