Tetesi: Tawi jipya la CRDB Chato, Idadi ya wateja inadaiwa ni ya kuvunja moyo

Tetesi: Tawi jipya la CRDB Chato, Idadi ya wateja inadaiwa ni ya kuvunja moyo

Haaaa, hapo umechapia bro, kwahiyo Kakonko itakuwa mkoa gani? Make haiwezekani Kibondo iwe ndani ya Chato halafu Kakonko iliyoko karibu na Biharamulo iwe Kigoma.
 
CRDB walipofungua tawi Marangu Mtoni (Moshi Vijijini) hamkulalamika leo wamejitanua Chato imekuwa NONGWA hakika Chagadema ni adui wa taifa.
 
Hii ndio habari iliyoko mtandaoni kwa sasa kuhusu lile tawi jipya liliofunguliwa hivi karibuni huko maeneno fulani ambapo japo mwanzo ni mgumu,lakini mwanzo huo unaonekana si dalili njema hata kidogo.

Maelezo yanayotolewa mtandaoni nashindwa hata kuyaamini kuhusu hilo tawi na kama madai kuhusu idadi ndogo sana ya wateja wanaofika katika tawi hilo ni ya kweli,basi ni wazi ule utafiti haukua utafuti bali ulikuwa utafuti jina tu.

Mtoa habari amewaambia waandishi wafike kujionea hali halisi.

kwa sasa najua tutajipa moyo kuwa tawi bado ni jipya ila uzuri ni kwamba hatuwezi kuendelea kujipa moyo iwapo hali kama hii itaendelea hata kwa miezi mitatu tu.

Anyway,labda tuwape muda.

Nawaza tu kama watu wataruhusiwa kupiga picha eneo hilo katika siku zijazo.
Jamani ebu nielezeni nami nielewe the motive behind, nimetembea sana nchi karibu kila pahala, wilaya nyingi nchini benki ya Crdb ina matawi, juzi tu nimepita Sikonge nikielekea Chunya kuna tawi la crdb bank. Sasa tatizo ni chato kuwa tawi la bank ya crdb au tatizo ni nini?
 
Hivi nani ambaye ukiwa Kiongozi wa Nchi ataacha kupaendeleza kwao?kuna ubaya gani CRDB kuwepo pale Chato?ndugu zangu mambo mengn tuache kuwa tunalalamika,kwa wale waliowahi kufika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha ,na hasa Kilimanjaro unadhani ni kwann huo mkoa umependeza vile?jibu ni moja tu ni kwa sababi Mawaziri wa kuu karibia wote ukiacha Mizengo Pinda na Kassim Majariwa walikuwa wanatokea huko,na hizo nafasi walizitumia vixur sana,walijipendelea sana kuliko kanda yoyote nyingn,ukifika kule Monduli barabara hadi za vichochoroni zimewekewa rami,hata kuwa wilaya tu haikustahili hata kidogo,lakini Leo Monduli ni Wilaya,lakini hapo hapo tembelea mkoa wa Kigoma ambao hawajawahi kutoa kiongoz mkubwa wa kitaifa kaone palivyo,ni kichekesho,barabara mbovu hazina rami,Mimi binafisi nasema hivi kama ni kweli Chato itakuwa mkoa itapendeza sana,naima mkoa wa Kigoma utamegwa ili kuijazia Chato ili napo papendeze kama mikoa mingine ya huko kwa Cleopa Devid Msuya,Frederick Sumaye,Edward Lowasa bila kumsahau kiongozi nguri wa Taifa letu mzarendo wa kwer Hayati Moringe Sokoine,naunga mkono kwa Jinsi Mheshimiwa Rais anavyopambana kuijenga hii Nchi,
Achana nao, ngoja tuwanyoshe kwanza, Magufuli atapiga hadi 2034 then anachukua Makonda. Yaani wanataka kila kitu kiwe kwao, Arusha, Moshi Tanga. Kigoma huku hata lami tunaisikia tu, umeme kanjanja. Go JPM go go go...
 
Hii ndio habari iliyoko mtandaoni kwa sasa kuhusu lile tawi jipya liliofunguliwa hivi karibuni huko maeneno fulani ambapo japo mwanzo ni mgumu,lakini mwanzo huo unaonekana si dalili njema hata kidogo.

Maelezo yanayotolewa mtandaoni nashindwa hata kuyaamini kuhusu hilo tawi na kama madai kuhusu idadi ndogo sana ya wateja wanaofika katika tawi hilo ni ya kweli,basi ni wazi ule utafiti haukua utafuti bali ulikuwa utafuti jina tu.

Mtoa habari amewaambia waandishi wafike kujionea hali halisi.

kwa sasa najua tutajipa moyo kuwa tawi bado ni jipya ila uzuri ni kwamba hatuwezi kuendelea kujipa moyo iwapo hali kama hii itaendelea hata kwa miezi mitatu tu.

Anyway,labda tuwape muda.

Nawaza tu kama watu wataruhusiwa kupiga picha eneo hilo katika siku zijazo.
Wivu utakuua mkuu!!
 
Hii vita ni kati ya wafuasi wa (Pontio Pilato_ - Vatikano) na JJKKKT (Dr. Martini Ruta)...sioni mwisho wake
 
Hii ndio habari iliyoko mtandaoni kwa sasa kuhusu lile tawi jipya liliofunguliwa hivi karibuni huko maeneno fulani ambapo japo mwanzo ni mgumu,lakini mwanzo huo unaonekana si dalili njema hata kidogo.

Maelezo yanayotolewa mtandaoni nashindwa hata kuyaamini kuhusu hilo tawi na kama madai kuhusu idadi ndogo sana ya wateja wanaofika katika tawi hilo ni ya kweli,basi ni wazi ule utafiti haukua utafuti bali ulikuwa utafuti jina tu.

Mtoa habari amewaambia waandishi wafike kujionea hali halisi.

kwa sasa najua tutajipa moyo kuwa tawi bado ni jipya ila uzuri ni kwamba hatuwezi kuendelea kujipa moyo iwapo hali kama hii itaendelea hata kwa miezi mitatu tu.

Anyway,labda tuwape muda.

Nawaza tu kama watu wataruhusiwa kupiga picha eneo hilo katika siku zijazo.
Hili tawi limefunguliwa kwa KIKI, sio kwa UTAFITI. Si unajua bwana kubwa anavyopenda kiki?
 
Jamani mkae mkijua, chochote kinachoanzishwa Chato, huwa hakina tija, hata hai wasomi wanaongoza taasisi husika na kwenda kutupa fedha huko wanajua.
 
Roho mbaya na chuki ya ukabila inawatafuna na kuwamaliza taratibu.
Mlipofungua matawi ya hiyo Benki huko migombani mbona Watanzania walikaa kimya!?
Leo hii ndio imekuwa nongwa kisa tawi limefunguliwa sehemu anayozaliwa Rais wa nchi!
Migombani pesa ipo.
 
Jiulize hapo chato ilishakuepo bank yoyote kabla?? Je wananchi wana uelewa na masuala ya kuhifadhi pesa bank..?? Kumbuka hiyo ni biashara na ndio maana kuna bank officers kwa ajili ya kutoa elimu na kutafuta Wateja..we ulitegemea ifunguliwe tu kisha uone watu wanapishana??hizi akili za kupinga kila kitu IPO siku mtapinga hadi jinsia zenu
Machozi yanakulengalenga
 
Mateller wa huko wana raha kweli

Kutwa nzima kupiga soga mwishowe wataanza kutongozana tu na kumalizana

Sasa kama wateja wanakuja 6 au 6 kwa siku kuna kazi hapo? Si bora haya walale nyumbani kusubiri mshahara

Hakuna kitu kinakera kama kweda ofsn halafu hakuna kaz za kufanya
Sijui wako wahudumu wangapi, wangejiwekea utaratibu anakwenda mmoja kwa siku au wiki wengine wa kila maisha.
 
Back
Top Bottom