Tayari CCM imeshabwaga manyanga, vingunge watafute kazi nyingine

Tayari CCM imeshabwaga manyanga, vingunge watafute kazi nyingine

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
2,175
Reaction score
4,181
Ndio dalili zote zinavyoonyesha, hata kamati za ufundi zimeshawaambia viongozi waandamizi wa CCM watafute la kufanya.

Baadhi ya habari ni kuwa kuna kundi kubwa sana sana ndani ya CCM ambao ni wanachama wa kawaida hawa wanaonekana kuwa mstari wa mbele ndani ya CCM tena wanashangilia kwa nguvu zote na kucheza sana.

Kundi hili ndilo kundi litakaloiangusha CCM, ni kundi ambalo ni moto unaowaka ndani ya majivu, na baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani wanasikika kulieleza kundi hili kuwa wabaki hukohuko isipokuwa kura yao ndio pigo takatifu kwa CCM, waikatae kwenye kura na sio kwenye mikutano. Hili kundi lipo na ni kubwa kubwa kubwasana.

Mtihani ni kwa wale akina polepole na bashiri na watu wa aina zao wakiwemo viongozi wa vyombo mbali mbali wanaohisi wataikoa CCM, waanze kujiandaa kisaikolojia, upepo huu hauna salama kwa CCM, sijui kama hiki chama kitasavaivu, wananchi wameshachoka nacho.

Wananchi viongozi wa vyombo mbalimbali nao wamo katika kundi ambalo ni wanaCCM sherehe na sio wakuipigia kura CCM, ndani ya hivyo vinavyoitwa vyombo wameshaichoka CCM, wanafanyakazi kwa woga wanasema hawapo huru wanakaribia kupata maradhi ya moyo kwa hofu zilizowajaa, wanadai Magogo yanatembea na nyundo na jembe kuwatugonga wanawatumbua kisha wanawazika, hivyo hofu imewatawala hawana furaha hata majumbani, nao wanasema mwaka huu kura itakuwa siri kuliko miaka yote iliyopita na hawaipigii tena kura CCM.

CCM itakufa ndani ya miezi miwili pindipo wakishindwa kitakuwa ni historia.
 
Mleta mada huwezi eleweka pengine wajue tunajua idadi ya majina ya wapiga kula hewa yaliyoongezwa hususani kanda ya ziwa uko janja walioifanya ipo mezani kwa watu wa IT sasa wasubilie kitakachotokea haaa haaa.
 
Na ndio maana hata Kamati ya ku-KATA wale waliopitishwa au kuachwa na WAJUMBE hata habari zake hazisikiki!! huu ni MTIFUANO wa mwaka!
 
Kamati ya ufundi haiwezi kushinda mwaka huu. Hata wafanye kafara kubwa kiasi gani haliwezi kufikia thamani ya kafara la Tundu Lissu, nusu ya damu yake ilimwagika.

Nasikia Pesa kwenye mifuko imepepea, Mafao hayalipiki tena.ohooo..Mambo sio mambo NSSF & PSSSF

Mambo yamekorogeka kweli
 
Miaka yote CCM hupitisha wagombea wao kabla ya wapinzani. Mara hii naona wamechelewa sana. Si dalili njema! Msiba wa Benny imekuwa kama excuse.
 
Kamati ya ufundi haiwezi kushinda mwaka huu. Hata wafanye kafara kubwa kiasi gani haliwezi kufikia thamani ya kafara la Tundu Lissu, nusu ya damu yake ilimwagika.
Hebu nitaandika mada kuhusiana na hili nikitulia
 
Lipo wazi anga limeshaikataa ccm,pili wamekiuka zindiko la masharti ya kukimbiza mwenge waliambiwa waukimbize kila mwaka ili kuzipumbaza akili za watz mwaka huu akili zetu azijarogwa kabisa na Moshi wa mwenge tutafanya maamuzi mazuri
 
Kamati ya ufundi haiwezi kushinda mwaka huu. Hata wafanye kafara kubwa kiasi gani haliwezi kufikia thamani ya kafara la Tundu Lissu, nusu ya damu yake ilimwagika.
Kamati ya ufundi utegemea zindiko la mwenge kumbuka mwaka huu zindiko limekiukwa halikufanyika,so chakavu bye bye,Rip in hell forozo ganze
 
Nasikia Pesa kwenye mifuko imepepea, Mafao hayalipiki tena.ohooo..Mambo sio mambo NSSF & PSSSF

Mambo yamekorogeka kweli
Hawa washenzi sana hela za wastaafu wanawakopesha serikali wanawaua wazee wetu kwa njaa, wakati wao wanasiasa hela zao wanachukua mapema kuwekeza kwenye biashara zao
 
CHADEMA wawe tu makini kwenye kamati ya ulinzi wa kura manake hapo tu ndipo palipobakia
 
Back
Top Bottom